Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013


Kuna mtu kajipendekeza kachukua hicho kiti cha mke wangu Paloma na kwa ridhaa yake.. Ndo maana nimebaki mpiga kura tu huku mie ladyfurahia..
 
Last edited by a moderator:
nimeshika ujaji tokea kwenye top5.. hapo mi ndiyo nina mamlaka napo ya mwakani ni mwakani, nataka haki itendeke hata kama utamtangaza mshindi bila haki tutaingia msituni. tuwe makin na mnitambue mapema, tokea kwenye top5 nipo hapa kama jaji. usipinge



kumekuwa na matrafiki feki................
na tena mameneja wa bar feki...................

na huyu Sandeni ni jaji feki!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kajipendekeza kachukua hicho kiti cha mke wangu Paloma na kwa ridhaa yake.. Ndo maana nimebaki mpiga kura tu huku mie ladyfurahia..

wewe umechukua kiti changu jamani.............huyu jaji feki -yani ni orijina ya feki kabisa!!!

uniletee mapera jamani.....yawe mabichimabichi nile na chumvi ya pilipili!!! cc Mamndenyi Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:

umejuaje siku hizi hadi kwa harufu tu nasimamia-very active
 
wenzio tumefanya ujaji tangia August sasa wewe leo asubuhi unakurupuka na kutaka ujaji
pls nimekwambia utaupata wa mwakani
nina nn mm na wewe?
tokea asubuh kazi nimeanza
 
sasa hebu hesabu kura hizo zilizobakia tumtangaze sasa hivi mshindi wetu hapa maana roho za washiriki izinadunda yaani presha jujuuu .Je kwako umepata kura ngapi ziorodheshe hapa sasa
Kuna mtu kajipendekeza kachukua hicho kiti cha mke wangu Paloma na kwa ridhaa yake.. Ndo maana nimebaki mpiga kura tu huku mie ladyfurahia..
 
TUNAANZA KUTANGAZA JAMANI KAENI MKAO WA KUSHANGAA HAPA
HAYA MAJAJI WENZANGU Bujibuji, sosoliso semeni neno la mwisho hapa

mambo yako kama hivi:

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…