Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Yeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
:majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7::majani7:
Shukrani kwa wote walionipigia kura.....
special thanks kwa kampeni meneja wangu na mdogo wangu kipenzi Heaven on earth.... kweli nimekuaminia.
Asante sana twin wangu Ablessed kwa kuhakikisha unasimamia kura kikamilifu zisichakachuliwe.
Asante sana binamu yangu mpendwa Jiwe Linaloishi kwa kuhakikisha ushindi unakuja nyumbani....
Wadogo zangu KOKUTONA, cacico....... list ndefu sana, nawashukuru sana kwa kupiga kura.
Wagombea wenza Mamndenyi na BAK hongereni sana kwa nafasi mlizochukua.... next time mtashinda nafasi ya kwanza.
Mwisho ni kwa wanakwaya wenzangu hasa hasa pianist Kaizer....... shukrani sana kwa kucheza kinanda vizuri mpaka tukapata ushindi...... ladyfurahia..... you are the best event organizer and chief judge ever...... Bujibuji, pamoja na kupokea rushwa ya wazi kabisa teka kwa wa ubani wako wa zamani haki imechukua mkondo wake.
Nina uhakika kampeni meneja wangu Heaven on earth ataandaa event na kuwaalika wote mlioshiriki tusherehekee ushindi huu.
ASANTENI SANA WANA CC WOOOOTEEEEEEEEEEEEEEEE
NAWAPENDA SANA
:A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11:
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi kama umri wangu unaniruhusu basi naomba kura yangu ihesabiwe katika kapu lako
 
Last edited by a moderator:

 
Last edited by a moderator:

jamani furaha niliyonayo hapa dada angu Fixed Point haielezeki jamani....

event itaandaliwa ili tusherekee ushindi.......

na mie nichukue nafasi hii kuwashukuru woooote waliokupigia kura

Mungu awabariki sana
 
Last edited by a moderator:
hivi ladyfurahia mashindano ya sisi sura mbaya mtayaandaa lini.? Nahisi mnatutenga
 
Last edited by a moderator:
asante sana rafiki kwa kusherekea nami....
hongera sana pia kwa ushindi wa pili......
Ngoja tuongee na waandaaji tuone uwezekano ku kufanya kolabo tutoe single yetu, unaonaje rafiki?
cc. ladyfurahia....
my campaign manager Heaven on earth

hili swala tutalifanyia kazi.......najua collabo yako na BAK

lazima iwe balaa.......sa hivi tusherekeee ushindi kwanza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…