Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

 

nita appeal kupinga matokeo na mchakato wa shindano hili.
Haiwezekani my akanana Passion Lady asishinde.
 
Last edited by a moderator:
my sis nimekumithi ujue
 
kuanzisha aanzishe mwingine, kunogesha anogeshe mwingine, kupakia upakie wewe mbona MAJANGA
mpaka sasa washindi rasmi sijawatangaza. mi ndiyo jaji wa utangazaji endelea kuomba kura pengine ukashinda et
 
Last edited by a moderator:
hivi karibuni usijali kwani tuko kusherekea ushindi wa cc music award hivyo ikiisha hii tutakuja na kitu kipya zaidi kaa mkao wa kula kujiandaa kama itatokea
hivi ladyfurahia mashindano ya sisi sura mbaya mtayaandaa lini.? Nahisi mnatutenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…