ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #41
nikiangalia orodha ya majaji tu tayari najua nimeshashindwa.......
wanapenda hongo haoooooo, na mimi kuhonga nimepata F
Ngoma ya kwetu ndo nzuri
ile ya kushikana mikono ili tusiibiane mifukoni.
Hahahahahahahaha lazima nkupigie wangu manake najua utanikumbuka mara upatapo ushindi. Sisi ndio wale wapambe kila uendako tuko nyuma yako halafu najifanya nakujua saaana cheze mtu maarufu veve.usingenipigia kura ningejinyonga kwa big g aisee
hebu mwaga vocal zako hapa tuanze kazi aya kukujaji kama la jipige ban list
Hivi ladyfurahia hujui wasukuma wanavyopiga ngoma na kuimba kiuhakika wala usiwe na wasiwasi
bora umemwambia maana tuko hapa tunacheki
vocal zilizoenda shule ati!!!
KakaKiiza hii style imenikumbusha mbali aiseeStyle wanchekecha nkebinyobwa!
nawafahamu sana wasukumu nilishawapa train moja tu
wakabaki wanashangaa na ushamba mwingi
wasione pa kutokea, Ila ni waimbaji wazuri sana
hebu mwaga mistari yako hapa hata ikiwezekana
ya lugha ya kisukuma yuko jaji Paloma atakupa maksi zako
hivi mi umeniweka wapi!!!!!!!!!!!
Hahahahahahahaha lazima nkupigie wangu manake najua utanikumbuka mara upatapo ushindi. Sisi ndio wale wapambe kila uendako tuko nyuma yako halafu najifanya nakujua saaana cheze mtu maarufu veve.
Wewe uko kwenye mkoa wa chitchat waombe wakupe kura hili uipate hiyo tuzo best