ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #101
watu weweeeeeeeeeeeeeee ushukuriwe mpambe wangu Ablessed
sifa nyingi nazimwaga kwako na bado huo ni mwanzo tu
pole bestito wewe umo jamani nilisahau jina lako
kwani jaji akukuorodhesha hapo anza kutoa verse zako
samahani kwani karatasi ya majina ilipotea katika
mazingira ya kutatanisha
Sasa mbona huimbi sasa
Oooh kumbe mpaka jukwaani basi mimi ndo nipo nyuma ya wakati.Hivi tunaimbia hapa hapa au tutaenda kule kwenye jukwaa kama diamond.
Huu mpambano ni mkali sana aisee manake washiriki karibu wote wako juu sasa hapa hata upigaji kura unakua mgumu kidogo. Itabidi wengine muimbe nyimbo za mchaka mchaka kama vile jumbe analia....,yani Ablessed nlishangaa kama sio kushtuka kabisa. Ila nimepata ufafanuzi
Kama anaimba zilipendwa amepata kura...namsubiri kwa hamu jukwaani