ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #141
ladyfurahia asante kwa kutambua uwepo wangu, nadhani majaji watakua fair, nitaingia na mapambio ninahakika yatawaburudisha wengi na nitapata kura za kutosha, zawadi nitagawana na wapiga kura wote pamoja na majaji, ikiwemo na wageni wote,(guests), nawatakia mchuano mwema , let the best man/woman win...
Hivi tunaimbia hapa hapa au tutaenda kule kwenye jukwaa kama diamond.
sijui hata nichangie nini...
Anyway endeleeni tu nisije nikawahiribia siku bure
Usije ukafanya kosa ukanipa wakati nikakuimbia. Hako kabopifrendi kako utakaita kaka nakuapia.
kura zinapigwa hewani ama?
Wimbo wangu huu hapa naamini majaji watanitendea haki;
nakala kwa chama.
1. Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu, Tanzania,
Jina lako ni tamu sana
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mama wewe
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!
2. Tanzania! Tanzania!
Ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu,
Biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi,
Mambo mema ya kwetu hakika
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!
3. Tanzania! Tanzania!
Karibu wasio kwao
Wenye shida na taabu
Kukimbizwa na walowezi
Tanzania yawakaribisha
Mpigane kiume chema wee.
Tanzania! Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote!
4. Tanzania! Tanzania!
Watu wako ni wema sana
Nchi nyingi zakuota,
Nuru yako hakuna tena
Na wageni wakukimbilia
Ngome yako imara kweli wee.
Tanzania! Tanzania!
Mola awe nawe daima.
kwa hapa nimeshindwa, sina mvuto wa sura hata kama ninaweza kucheza na jukwaa...! ubaguzi huu!
Haki ya Mungu......
Sasa huyu Jaji Mwaikimba, mbona ndio kocha wangu wa Ling'oma kule bwilando?
Poa nimetuma demo kwenye PM wakati napafom mitaa ya kati, nasubiri maamuzi yenu....
Ntaambatanisha picha na mashairi za hiyo pafomansi
kama alisemaa alisema.alisema
Atakayepatikana nitampeleka matembezi ya mbuga za wanyama kwa wiki moja.
thats y alove u today
more than yesterday!!
huu mpambano utakua balaarege inaruhusiwa ndio,mie hakiyanani lazima niondoke na taji safari hii
cousin sasa huu ndo wimbo wako
au maneno ya kutahabiana na shem!
mwambie apige kura ya hewani kwa
kutaja jina lako ili upate kura
huu mpambano utakua balaa
sijui nimwambie ladyfurahia
anipe ujaji tu maan presure itaniua!!
huwezi jua mvuto gani tunaouzungumzia hapa waache majaji wafanye kazi yao ndipo
utakapokuja kushangaa mwenyewe hapa kitakachotokea waambie
wana jf wakupigie kura kwa kutamka jina lako hewani
cousin majaji wameshajaa hatuongezi majaji wengine wewe komaa tu utaweza
usiogope kaza buti maana leo tunamtafuta mshindi wa kuingia top20
umefanya jambo la maana bestito yaani inabidi nikupange
kwenye list yetu uwe makamu katibu wa shindano hili haya pokea sasa