Shindano bomba la wasanii top20 bora wa cc - 2013

Nitawanogesha na mduara......mwanamke mbele mwanaume nyuma haloooo!!!!
Waliobwagwa ndo mjitafute kabisaaa...... Mwita Maranya nakusihi maamuz yafanyike mapema!!!!
 
Last edited by a moderator:
We si unajua mpango wangu binamu Paloma We fanya yako bana tupo pamoja sana kwenye hili na ukimaliza tuma Account yako tuu tumalize mambo

hapo tu binamu ndo napokupendea.............ila una pumzi? sio ufike jukwaani afu unatuletea sauti yenye kubanja!
 
ni vyema kuweka korabo ya songii lako hapa ili majaji wapitie na kuuufanyia kazi besti
tuma sasa
 
mara nyingi undugu haufutiki hata kije kimbunga cha aina gani
undugu unabaki kuwa palepale labda ndoa waweza kuomba talaka
weka wimbo wako hapa watakupigia kura wana mmu
ladyfurahia nazidi kuomba kura mi nakuja na wimbo wa kichagga kabisa tukisaidiana na Nicas Mtei na Paloma ngoja usinipe kura nafuta ubinamu
 
mara nyingi undugu haufutiki hata kije kimbunga cha aina gani
undugu unabaki kuwa palepale labda ndoa waweza kuomba talaka
weka wimbo wako hapa watakupigia kura wana mmu

Kuna wimbo uko kwenye kitabu cha nyimbo za kichagga unaitwa "ngileenengo iisaria" muulize kiwatengu na Mamndenyi wanaujua ulivyo mzuri
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…