Shindano: Kama hujawahi kukomenti kwa emoji, jishindie 10,000/-.

Shindano: Kama hujawahi kukomenti kwa emoji, jishindie 10,000/-.

Nipo hapa, itume fasta nijazilizie data ya wiki
 
Salamu wakuu!

Sio kila siku maisha magumu. Leo nipo hapa kurahisisha maisha ya watu, japo kwa kiasi kidogo cha vocha au bucket ya bia.

Jitokeze, jishindie, furahia wikendi.

Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Ncha Kali.[emoji1614][emoji276]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom