The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Unachotakiwa kufanya ni kuleta msosi wa wiki nzima wa familia ambao hauna ugali wala wali wala ngano...
Sababu ni kuwa licha ya kuwa kuna vyakula vya kila aina watanzania wengi huwa tunakula zaidi wali na ugali.
Na asubuhi ni ngano zaidi vyakula hivyo sio vya kiafya sana kwa watu hasa umri unapoenda ni source kubwa ya unene na magonjwa ya kisukari.... sasa atakae shinda zawadi itatangazwa.....hapo siku ya mwisho ambayo ni mwisho wa february...
kazi kwenu..
Ok..ngoja niongeze maelezo nataka menu ya wiki nzima mfano unasema jumatatu watu watakula hivi asubuhi,mchani hivi,jumanne hivi so iwe ya wiki nzima ila usiwepo wali wala ugali ,wala vyakula vya ngano...
majaji watakuwa wasomaji hapa mwisho tutawauliza menu ipi inafaa kiafya..