Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weka chakula cha kawaida tu kwa familia
watakula baba,mama watoto na babu na bibi wote kwa pamoja
Bi Farkhina umeshashinda hili taji kabla hata shindano halijaanza!Hahahahahaha lol...sawa majaji ni nani na wewe The Boss
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Bi Farkhina umeshashinda hili taji kabla hata shindano halijaanza!
mkuu bado
je watu watakula ndizi wiki nzima..
Hahhahhah lol....wameshauri niwe judge wa kuonja lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ukionja onja sana si utavimbiwa?
Mkuu unataka kwa recipes za kibongo au hata international cuisine ambazo zinapikika kibongo...
Kuna vyakula vingine havina majina tuyafamuyo bali hutokana na ubunifu tu wa mpishi...
Hahhahhah lol....wameshauri niwe judge wa kuonja lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Umeona eeeh kuna vyengine vitamuuu ila majina havina....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Day 1
-yai, karanga, bagia, chai
-ndizi njegere na kipande cha samaki.
-salad na maziwa.
Day 2
-banana bread, omlette, chai
-coated potatoes, na kuku choma
-ndizi choma na kachumbari.
Day 3
-matoborwa, karanga na chai
-mihogo ya nazi na sato wa kuchoma
-makange ya kitimoto.
Day 4
-uji wa ulezi na sausage
-chips kuku.
-futari ya boga, viazi vitamu, mihogo na karanga.
Day 5
-yai ndani ya mashed potatoe na mango juice
-mchemsho wa ndizi, njegere na utumbo
-fruit salad na maziwa
Day 6
Utanitoa out
Day 7
snowhite anatualika kwa barberque na lots of wine kwake.