Shindano kwa wapishi wa JF

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Unachotakiwa kufanya ni kuleta msosi wa wiki nzima wa familia ambao hauna ugali wala wali wala ngano...

Sababu ni kuwa licha ya kuwa kuna vyakula vya kila aina watanzania wengi huwa tunakula zaidi wali na ugali.

Na asubuhi ni ngano zaidi vyakula hivyo sio vya kiafya sana kwa watu hasa umri unapoenda ni source kubwa ya unene na magonjwa ya kisukari.... sasa atakae shinda zawadi itatangazwa.....hapo siku ya mwisho ambayo ni mwisho wa february...

kazi kwenu..


Ok..ngoja niongeze maelezo nataka menu ya wiki nzima mfano unasema jumatatu watu watakula hivi asubuhi,mchani hivi,jumanne hivi so iwe ya wiki nzima ila usiwepo wali wala ugali ,wala vyakula vya ngano...

majaji watakuwa wasomaji hapa mwisho tutawauliza menu ipi inafaa kiafya..
 
Tuko pamoja mkuu,ngoja nianze kula somo ili nije na vyakula vya matunda zaidi.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Hahahahahaha lol...sawa majaji ni nani na wewe The Boss

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu umemgusa hapo, anapenda sana
 
Vipi ndizi matoke kwa nyama/maharage ya mbeya??

Kuna watu wanakula hii menu 365.25days!!

Babu DC!!
 
unaposema tulete msosi wa wiki, je tunasema jina tu la msosi? Au tunaleta na recipe zake?

halafu tunazituma wapi, hapa kwenye thread, au tunaku-pm??
 
Ngoja niandae nirudi kwa kasii
 
farkhina...hivi umestop kuleta menu kwa sabab ya hii kitu nn? Tuletee bana hatutacopy na kupaste...u r already a winner . Napendekeza uwe judge mkuu sio mshirikiπŸ™‚
 
Last edited by a moderator:
farkhina...hivi umestop kuleta menu kwa sabab ya hii kitu nn? Tuletee bana hatutacopy na kupaste...u r already a winner . Napendekeza uwe judge mkuu sio mshirikiπŸ™‚

Hahahahahaha sawa ntakua judge nionje onje lol....

Kuhusu recipes mpya ntaweka soon usijali

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…