ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
-
- #21
umejuaje kama nina "kipaji halisi"..cha "kuimba".....?mie kama kucheza Ngoma za asili sawa..?@Ladyfurahia
hahahahahahaha...haya bhanasasa onesha 'Kipaji halisi' cha kutunga wimbo amashairi hapa ili majaji wafanye kazi yao hapa bestito kabla kufikia kilele cha ushindanishi wenu
Na Bishanga teena....sauti ya ngapi vile?tena ni muhimu sana nilikuwa nimesahau inabidi muwapigie kura hao washiriki niliwataja hapo juu bila kumsahau Chimbuvu kama yuko dar, Nicas Mtei, na Bishanga pia
Hebu tangaza zawadi kwanza kabla sijaanza zote la gym ya sauti....
wimbo unatakiwa uwe wa dakika ngapi?. p funk kashanikubalia kunitengenezea beat badae ntaongea na maneke kama atakubali kuingiza vocal kwenye wimbo wangu. wimbo nimetengeneza wimbo wa sec 58. hauna chorus. hadi hiyo tarehe ntakua nshaufanyia mixing. vipi naweza kuandika kidogo mashairi yake hapa?. mia
hahahahahahaha...haya bhana
Yani nilikua nakaribia kuandamana kwanini haukuniweka.
Okay naanza vipi?
Weka mwaya pipo waanze mazoeziBishanga yeye anaimba sauti ya 4 yaani bass kwani siku hiyo tunataka watu waimbe songi ambalo mwalimu ataliandaa hapa na kisha wao kusoma hayo mashairi ngoja nianze kuweka hilo songi ambalo waimbaji inabidi wakariri maneno kabla ya sauti na melody kupangwa
mbn cjawahi kupata.. ladyfurahia2. Rafiki mpendwa wangu wa moyo, niliyekuchagua wewe pekee,
ona jinsi ninavyojitolea kukutumia pm nyingi kwa ajili yako,
Ninaacha kazi na shughuli zangu, nakaa na ipad, laptop yangu,
kukukumbuka na kuchat nawe, kila saa na kila wakati,
nionapo jinalako na avatar yako, macho hujawa na upendo mwingi,
na pale nikuonapo ukinicomment kwenye yangu post,
nabaki kujawa na furaha isiyopimika wala kuwa na mfano.
Napend unapoitikia wito wa kuwa karibu yangu, na kuniona wapekee,
Sina la cha kukulipa basi pokea upendo wangu kwako
mbn cjawahi kupata.. ladyfurahia
haya bi dada...sasa nimekupatajamani hujawahi kupata kwa wengine hapa jf cc jamani mbona unaniangusha kwani huo wimbo umetungwa kwa wana cc wote ambao wanatumiana salamu, au comments zao kwa marafiki weingine na sio kusema umepata toka kwangu ukipata kwa jf rafiki mwingine ndo hiyo ndugu yangu, hiyo ni lugha ya mashairi ya uimbaji. Je umewahi kusoma utunzi au mashairi ya Shaaban Robert, si unaona anavyotumia uyeye ili kuleta maudhui ya utunzi wake, au umeshawahi kusoma riwaya za kusadikika, si unaona anatumia tafsida ili kuleta ujumbe, au dhima yake kwa jamii? mpaka hapa utakuwa umenielewa vyema. Una tatizo jingine tena? utakuwepo kwenye tamasha hili? nikupange kwenye list ili uwanie tuzo ya mwimbaji bora wa chitchat? pls nijibu
duu hapa inahitaji bss na tusker na bil kusahau american idol majaji wao maana sielewii mie..
haya bi dada...sasa nimekupata
Weka mwaya pipo waanze mazoezi