shindano la nani zaidi cc kapo

woooote ambao mmechakachua thread yangu andaeni kucha zenu tayari kwa kunyofolewa na ninatangaza rasmi thread closed maana hata utaratibu wa kupiga kura haujulikani.
in the meantime ngoja nimwahi Madame B ananisubiri sea cliff.
kopi aione Chimbuvu............ukisema vya nini wenzio wanasema utamu si ndo huu?
 
Last edited by a moderator:

Bishanga, wallah nakuambia, yule ampokonyae mwanaume mwenzake mke basi moto wa Jehanam halali yake.
Nakusubiri Shem.
Tena leo utinge kile kikaptura chako cha ujiuji, nimekimiss.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga, wallah nakuambia, yule ampokonyae mwanaume mwenzake mke basi moto wa Jehanam halali yake.
Nakusubiri Shem.
Tena leo utinge kile kikaptura chako cha ujiuji, mekimis

Shkamoo Em-B!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…