cku izi u dont kol me no more...cjui umepata kidbro mwingine? ndo maana imebidi nitafute replacement yako in Mrembo by Nature even though she also never calls me...:crying::crying::crying:
Sijaona la maana hapo zaidi ya umbea tu.
BTW, hayo ya kwao mie hayanihusu kabisaaaaaaaaa!!!!
After all na vifanyio ni vya kwao pia. . . why should I bother myself???
Akhuuuu!!!!
Watajuana wenyewe.
Aisee... Hongera sana Mrembo... Inapendeza. Yeye Kipipi anatoka na nani? (Umbea sunnah) Lol
Aisee... Hongera sana Mrembo... Inapendeza. Yeye Kipipi anatoka na nani? (Umbea sunnah) Lol
Huna lolote....!
Huna jipya.....!
Wivu tuu........!
Aisee... Hongera sana Mrembo... Inapendeza. Yeye Kipipi anatoka na nani? (Umbea sunnah) Lol
Aisee... Hongera sana Mrembo... Inapendeza. Yeye Kipipi anatoka na nani? (Umbea sunnah) Lol
Mwenzangu atakuwa mwananthropolojia. nimewaona jana wamekumbatiana kwenye uchochoro karibu na dukani kwa mpemba (taratibu wasisikie naogopa kusutwa)
Wakuonewa wivu wewe??
Una nini hasa??
Heheh jipange upyaaaaaaaaa!
Mmmm....
Sina neno kwa sasa. Nimepigwa kibuti nna hamu tena?
Kibuti cha ngapi?