Mpenzi wangu, huyo Bishanga kwani umemlia nini chake?
Mbona akusakama hvo?
Hebu tufanye yetu.
Ngoja nikuchagulie suti za kwenda kikaoni my huz'darling Ben Saanane.
sosoliso.....debe tupu haliachi kupiga kelele wenye viatu size 12 tunawaangalieni tu.
We nawe . . .
Ukiweza basi msaidie!
BTW, Marhaba. Oli otya?
Baambii Mugole wange chipipi ! Mie nitamsaidia ? Chiichi nyabo?
Hivi ukimsikia mtu akisema "huyu Ng'ombe kafanana na kitunguu" utamuelewa?
Kitunguu na Ng'ombe wapi na wapi ?
Comodity ya kumridhisha mridhishwaji mie ntaitoa wapi?
Kwani bidhaa yangu na bidhaa yako zina mlandano?
mzee wa kihaya mmbea kweli wewe Bishanga vipi tuklutane steers na sisi kama Black Bat na Retired Sister ila tusikimbianeaisee!
Copy: @judjement
tungo Tata!
ha ha ha Bishanga.. kama wewe ulivyopewa mtoto sio wako kwa ajili ya mahela yako.. tajiri la kihaya..
sosoliso.....debe tupu haliachi kupiga kelele wenye viatu size 12 tunawaangalieni tu.
Copy: The secretary...please confirm....
sosoliso.....debe tupu haliachi kupiga kelele wenye viatu size 12 tunawaangalieni tu.
Copy: The secretary...please confirm....
Utasema kila kitu leo.....lete full story.....unaliamshaje....tactics?....
...
mzee wa kihaya mmbea kweli wewe Bishanga vipi tuklutane steers na sisi kama Black Bat na Retired Sister ila tusikimbiane