shindano la nani zaidi cc kapo

NIMEKUFICHIA SIRI SAN BISHANGA NITATOA PICHA ZETU ZA PAMOJA MOJA MOJA KADRI UNAVYONIUDHI Bishanga
CC: The secretary NAKUHESHIMU SANA SASA NIMECHOKA

Picha zako na maneno yenu siyo moto hayanipi pressure sijiweki roho juu walishakuja wengi tu na evidence kama zako huyo ni babu Asprin umekosea
 
Last edited by a moderator:

Mwanaume mwongo utamjua tu..... Nivea embu rusha picha zako za lunch steers na sosoliso
 
Last edited by a moderator:
picha zako na maneno yenu siyo moto hayanipi pressure sijiweki roho juu walishakuja wengi tu na evidence kama zako huyo ni babu asprin umekosea
cool down nani kakuambia ni babu Asprin angalia quote yake akiniomba nisimuaibishe mwanamke wewe hata sura ya mwenzio waikana heheheheehehehe BABU ASPRIN SIJAWAHI MUALIKA KWENYE UFALME WANGU HALAFU YULE ANAKOPA SANA YULE
 
Last edited by a moderator:
namtafuta kibabu change anajulikana kwa jina moja la Bishanga mara ya mwisho nilionana nae mpwapwa. atakaemuona anipigie simu 0713800800. ahsante
 
True true Nivea hata BADILI TABIA na cacico walinambia hivo hivo kuhusu Asprin
 
Last edited by a moderator:
namtafuta kibabu change anajulikana kwa jina moja la bishanga mara ya mwisho nilionana nae mpwapwa. Atakaemuona anipigie simu 0713800800. Ahsante
cc; The secretary bibie hatujadhamiria kuivunja ndoa ila tunakujulisha tu upunguze kupenda pesa utafia hapo japo sio dhambi nzi kufia kwenye kidonda hahahahaahah
cc: Bishanga
 
Last edited by a moderator:
namtafuta kibabu change anajulikana kwa jina moja la Bishanga mara ya mwisho nilionana nae mpwapwa. atakaemuona anipigie simu 0713800800. ahsante

Husn!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…