shindano la nani zaidi cc kapo

Nivea ukishikwa shikamana, Paloma mwenyewe keshaniletea giza kwa Mr Rocky
na wewe mnyanyase kisawasawa, mujini ni shule.

 
Last edited by a moderator:
komaa unataka wakati haujiamini.

 
ya nini kupata presha,
wenzio walicheza mchezo wa kibaba na mama zamani
unajuaje labda wanataka kufanya tena.

mie huyu?!?!? walaaa.............naangalia tu watu wanavyojikombagus akwa sosoliso wangu! kisa nampendamie basi ndo wengine nao wanamtaka!!! nashangaa siku zote alikuwa wapi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…