shindano la nani zaidi cc kapo

Na wewe mdaku umeangalia urefu wa flyz ukafikiria......siyo bwana hayo ni mapigo ya enzi zetu halafu hiyo shati nilikuwa nachezesha mazingaombwe!

........nikafikiria mkufu (sosi Nivea) hahahahahahaaaaaaaaa
 
HATA MIE NIMEKUMIS SWITIE SANA HUJAMBO LAKINI NA Kipipi WAKO
UJUMBE HUU NI MAHSUSI KWAKO LEO KWAKUWA UMENIMIS

Kujipenda ni Pamoja na Kuutunza Mwili wako!
Acha Ngono,UKIMWI unaua!

Asante Nivea
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…