Mi ndio nafika Durban nataka nitafute hotel nile then niende zangu kula raha za kwa Madiba.
Kula raha ila usimbemende mwanangu.
Copy kwa The secretary
Yaani unafika hadi Durban lakini hujui utalala wapi?
habari yako mkuu....weekend NAROK iliisha salama
Nikukimbie wewe?
Soma jibu hapo juu
Wkend inazidi ota miziz japo imehamia mata...o ..r
umeenda mbali dear.....tupambe kwanza kwa kumpata mratibu Kisha ndo tusherehekee
Ninawamudu ndio maana nimewaweka wote.
Ila una wivu.
Kinachofanya....he he hee
Niko na mke wa mtu nikikamatwa je?
Hujui nimetoroka?
Siachiki
heeh! hawara nae ni kapo? dont knw ths...
hata sitaki uachike..utaacha mwenyewe tu!