shindano la nani zaidi cc kapo

Mimi na Paw wangu, bila campaign wala nini lazma tushinde hili taji.
Naomba fomu.
 
Last edited by a moderator:
Tuu leiti.
Nishashinda vyote kuanzia mratibu hadi couple bora ingawa sijajua itakuwa ni kati yangu na Amyner au mimi na Kipipi au mimi na Chocs au Remmy au niliowasahau.

daah! ona sasa, tabia ya kichina hii....
Chocs, usijeukashtuka na kwangu ikawa too late...sipendi uwepo kwenye list za huyu jamaa!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…