hapo umesema wewe!
ila narudia tena majibu ya mimi nina nini utayapata kwa Chocs, mwezi unaokuja..baada ya kuviunganisha vikojoleo vyetu...
Report kamili utaipata na utaamua kunyoa au kusuka..nakukumbusha! Nilikuambia utaacha mwenyewe..
unazinguaa....
Hahahaaa Passion Lady kama inawasha niletee mie na yangu inawasha pia
Ushakula samaki nchanga wa kutoshaa....hahahahaha, acha hizo bana...!hapo umesema wewe!
ila narudia tena majibu ya mimi nina nini utayapata kwa Chocs, mwezi unaokuja..baada ya kuviunganisha vikojoleo vyetu...
Report kamili utaipata na utaamua kunyoa au kusuka..nakukumbusha! Nilikuambia utaacha mwenyewe..
Huwa unahamahama eeh....!!!
Nikikukamata haki ya nani ntaondoka na hiyo.............................!!!Hahahaaa Passion Lady kama inawasha niletee mie na yangu inawasha pia
Nikikukamata haki ya nani ntaondoka na hiyo.............................!!!
We jifanye mjanja mkanatiane km ma dogs
Hahahaaaa tutawafanyia operation ya hatari
Yamekua haya??...yani dadii unanidalalia hivi hivi nikiona...
hahahaaaaa!
Ruttashobolwa akikuskia
sijui kama patakalika!
Ushakula samaki nchanga wa kutoshaa....hahahahaha, acha hizo bana...!
Hapo wewe ni airtel..ana tigo, voda, ttcl, sasatel, zantel, Mcell, MTN, safaricom, Orange...e.t.c
source: yeye mwenyewe
Hivi swali lako lilikuwa nini tena ?
Nishasahau tayari
Mwambie haiishi.