Shindano la wazo la biashara: Unaweza kuanzisha biashara gani kwa 50,000/=?

Shindano la wazo la biashara: Unaweza kuanzisha biashara gani kwa 50,000/=?

said rashid

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Posts
203
Reaction score
112
Habari zenu wana Jamiiforums.

Kampuni ya ASSA AGENTS & Co. iliyopo Temeke Buza inataka kuwawezesha kiuchumi wananchi wa kipato cha chini kwa kuwapa mtaji na elimu ya msingi ya biashara, lakini haina wataalamu wa biashara.

Kwa kuona hivyo imetoa fursa kwa mtu yeyote mwenye weledi na mawazo mazuri ya biashara kuwasilisha na kushindana na wenzake watakaojitokeza ili kupata mawazo ya kuwasaidia wananchi na kuwasaidia mtaji ili waweze kuanzisha biashara endelevu.

Mtaji wa biashara usizidi shilingi elfu hamsini. Washindi kupewa shillingi elfu hamsini papo hapo. Unaweza kuandaa kazi yako katika mfumo wa Power point kwa ajili ya presentation au kuprint. Kila mtu anayo nafasi ya kushinda.

Mawasiliano:
0659528724
0768932789

Nyote mnakaribishwa
 
Back
Top Bottom