Shingo yangu ina weusi uliokithiri

Shingo yangu ina weusi uliokithiri

wamanga

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Posts
109
Reaction score
320
Ndugu zangu naomba mnisaidie wapendwa!

Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua!

Naombeni msaada wenu !nipeni njia itakayonipa matokeo chanya pasipo kujichubua.
 
Nyeusi ndo rangi dominant BB, unataka uwe recessive bb?.Macream yana alter protein ya ngozi.

Usipake chochote kula matunda na chakula chenye mafuta ya asili kama parachichi, karanga, nazi n.k
 
Acha ujinga na hawa wasemeje sasa?
download (7).jpeg
download (5).jpeg
 
Ndugu zangu naomba mnisaidie wapendwa!

Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua!

Naombeni msaada wenu !nipeni njia itakayonipa matokeo chanya pasipo kujichubua .
Weka pich mkuu
 
Hata nimeona article moja waliandika 'the most beautiful girl in the world', alikuwa mweusi tii kutoka moja ya West African countries lakini ukimuangalia ulikuwa hadi unampenda alivyokuwa mzuri.

Sasa wewe unajiangalia shingo halafu unajisemesha, mbona Mungu amekupangia vizuri tu, usijute kabisa.
 
Ndugu zangu naomba mnisaidie wapendwa!

Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua!

Naombeni msaada wenu !nipeni njia itakayonipa matokeo chanya pasipo kujichubua .
Sasa utatoaje rangi bila kuchubua!!! Nunua tu mkorogo upake shingoni tu.
 
Ndugu zangu naomba mnisaidie wapendwa!

Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua!

Naombeni msaada wenu !nipeni njia itakayonipa matokeo chanya pasipo kujichubua.
Shingo nyeusi zaidi, pia kwenye vifundo vya vidole vya mkono kuwa na sugu nyeusi , kitambi vyote hivyo ni dalili ya Insulin resistance.. unatumia vyakula vya wanga na sukari kupita kiasi..Chukua hatua za haraka sana unaelekea kwenye ugonjwa wa T2D , Type 2 diabetes, aka kisukari..
 
wamanga hiyo inaweza kuwa dalili ya kisukari kama wadau walivyosema hapo awali au inawezekana una condition moja inaiwa Tinea Versicolor. Kuna sabuni/mafuta yanayotibu kabisa hii hali kama una Tinea Versicolor. Tafuta hii sabuni inapatikana on amazon kwa bongo sijui inapatikana wapi. Good luck

71aXlJPg8yS._AC_SL1500_.jpg
 
Huo utakuwa ni uchafu dada...na uchafu wa shingo hautokagi upesi...... Plz usitumie cream, jisugue na brush au muone daktari
 
Tumia kqhawa na mafuta ya nazi kujiscrub kila jioni kabla ya kuoga
 
wamanga hiyo inaweza kuwa dalili ya kisukari kama wadau walivyosema hapo awali au inawezekana una condition moja inaiwa Tinea Versicolor. Kuna sabuni/mafuta yanayotibu kabisa hii hali kama una Tinea Versicolor. Tafuta hii sabuni inapatikana on amazon kwa bongo sijui inapatikana wapi. Good luck

View attachment 2029685
How do you Dx any skin conditions (infection) without clinical/seen it
 
How do you Dx any skin conditions (infection) without clinical/seen it

Comprehension is a pandemic. Reread my response zingatia KAMA UNA TINEA VERSICOLOR. In other words athibitishe kama ni tinea versicolor.

Aidha ni sabuni haidhuru kuogea hata kama huna TV tayari mnaogea sabuni za ajabu ajabu.

"Baya lisilonidhuru ni jema lisilo na faida" Mwanafalsafa nguli FidQ
 
Back
Top Bottom