Underthesea
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 327
- 882
Mkuu umenishtua!! Me Nina hii shida ya dark knuckles najiambiaga ni genes, sijawahi kuwaza ni ugonjwa!! Nina creme napakaga weusi unaisha nasahau kidogo baadae unarudi, yani imekuwa lifestyle yangu. Yani umenitisha!Shingo nyeusi zaidi, pia kwenye vifundo vya vidole vya mkono kuwa na sugu nyeusi , kitambi vyote hivyo ni dalili ya Insulin resistance.. unatumia vyakula vya wanga na sukari kupita kiasi..Chukua hatua za haraka sana unaelekea kwenye ugonjwa wa T2D , Type 2 diabetes, aka kisukari..
Picha: google