Weka pich mkuuNdugu zangu naomba mnisaidie wapendwa!
Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua!
Naombeni msaada wenu !nipeni njia itakayonipa matokeo chanya pasipo kujichubua .
Hata nimeona article moja waliandika 'the most beautiful girl in the world', alikuwa mweusi tii kutoka moja ya West African countries lakini ukimuangalia ulikuwa hadi unampenda alivyokuwa mzuri.
Sasa utatoaje rangi bila kuchubua!!! Nunua tu mkorogo upake shingoni tu.Ndugu zangu naomba mnisaidie wapendwa!
Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua!
Naombeni msaada wenu !nipeni njia itakayonipa matokeo chanya pasipo kujichubua .
Shingo nyeusi zaidi, pia kwenye vifundo vya vidole vya mkono kuwa na sugu nyeusi , kitambi vyote hivyo ni dalili ya Insulin resistance.. unatumia vyakula vya wanga na sukari kupita kiasi..Chukua hatua za haraka sana unaelekea kwenye ugonjwa wa T2D , Type 2 diabetes, aka kisukari..Ndugu zangu naomba mnisaidie wapendwa!
Iko hivi Mimi ni mweusi lakini Nina shingo jeusi sana tofauti na rangi ya sehemu zingine za mwili! Nimetumia home remedy imeshindikana na sitaki kujichubua!
Naombeni msaada wenu !nipeni njia itakayonipa matokeo chanya pasipo kujichubua.
How do you Dx any skin conditions (infection) without clinical/seen itwamanga hiyo inaweza kuwa dalili ya kisukari kama wadau walivyosema hapo awali au inawezekana una condition moja inaiwa Tinea Versicolor. Kuna sabuni/mafuta yanayotibu kabisa hii hali kama una Tinea Versicolor. Tafuta hii sabuni inapatikana on amazon kwa bongo sijui inapatikana wapi. Good luck
View attachment 2029685
How do you Dx any skin conditions (infection) without clinical/seen it