fakhbros
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 384
- 658
Mwaka 2002 nilikutana na bint mmoja pale mitaa ya Nyasa Nzega mjini jina lake akiitwa Shinuna,
Kutokana na umbo lake nilitokea kumuelewa nakuingiza mistari haikuwa bahati mbaya yule binti nae akawa amenielewa,
Mahusiano ya kimapenzi yakawa yameanza rasmi kati yetu,
Shinuna alikuwa na mtoto wa kiume ambae hakuzidi umri wa miezi sita toka kuzaliwa kwake pamoja na huyo mtoto niliamua kuanza kwa faida sababu hata kanuni za Bank account yenye record ya kuhifadhi pesa huwa ni rahisi kupewa mkopo,
Sikujali maisha ya mtoto sababu uwezo wa pesa za kumtunza mama na mto nilikuwa nazo kutokana na shughuli zangu za hapa na pale,
Kipindi kile nilikuwa nimeajiriwa katika Duka kubwa la pembejeo za kilimo pale mjini Nzega na kwa miaka hiyo biashara ya pembejeo ilifanywa na watu wachache hivyo mauzo halikuwa tatizo kwa wamiliki,
Nzega ilikuwa ni branch ya Duka kubwa lilokuwako mkoani Mwanza mimi nilifanya kazi ya kubank mauzo na kusimamia biashara kiujumla na kila nilipo bank basi niliweza kutumiwa mzigo"
Kwa kuwa mabosi wangu hawakuwa wenyeji pale Nzega ilibidi wanikabidhi lile Duka na mimi ndio nikawa nikitambulika kila Idara ya serikali nikawa maarufu pale wilayani huku sifa zikienea karibu mkoa mzima wa Tabora na wateja wakifunga safari kufata bidhaa pale Nzega'
Kutokana na ukwasi wa pesa nilio kuwa nikiupata kwa kuongezea number katika mauzo nilijikuta nikitengeneza faida kubwa ilio nipa jeuri yakuishi na Shinuna mtoto wa kiarabu mwenye mchanganyiko na damu ya Kimanyema'
Kwa kuwa Imani yangu haikuwa ikiniruhusu kuishi kimada niliamua kufunga ndoa ya mkeka na Shinuna bint Slimu'
Miaka minne ilikuwa imepita huku mtoto nilie mkuta na Shinuna akiwa ameanza masomo ya Awali, nami nilikuwa nimebahatika kupata mtoto kutoka kwa Shinuna mtoto wa kike jambo lilo ifanya familia yetu kuwa ya watu wanne mle ndani,
Mwenyezi Mungu alikuwa amenijaria kupata makazi japo haikuwa ghorofa lakini ilikuwa ni nyumba yenye hadhi pale mitaa ya Majengo majarubani mjini Nzega,
Ilikuwa ni Mwaka 2006 nilipokea taarifa kutoka Bukoba baba yangu alikuwa ni mgonjwa mahututi hivyo alinitaka niende pasina kukosa,
Nilimshirikisha mke wangu Shinuna juu ya ile taarifa nae hakuwa na pingamizi sababu hata kama ningeondoka uwezo wa kusimamia lile duka alikuwa nao,
Ila kabla ya mimi kupata taarifa za maradhi ya mzee wangu miezi miwili kabla nyumbani kwangu palikuwa na Mgeni alie tokea nchini Omani huyu Bwana alikuwa na udugu na mke wangu yeye na mke wangu walikuwa wanazaliwa na Mjomba na Shangazi huku yule Bwana akiwa ni mtoto wa Shangazi na mke wangu akiwa ni mtoto wa Mjomba"
Bwana huyo alifikia kwenye makazi yangu yeye na mkewe pamoja na mtoto wao ambae ndio alikuwa mgonjwa alie hitaji matibabu'
Kipindi chote ambacho alikuwapo pale nyumbani tuliishi kwa upendo sana hata nilipo aga kwenda mkoani Kagera alionyesha kuguswa huku akitamani kuambatana na mimi kwenye Safari yangu,
Baada ya kuishi Kagera takribani mwezi mmoja mawasiliano na familia yangu yalianza kuwa magumu sikuwa nikimpata tena mke wangu kupitia simu ya mezani au ya mkononi japo kipindi hicho simu za mkononi zilikuwa ni kitu cha anasa'
Kila nilipo jaribu kuwapigia mala nyingi alipokea simu msichana wa kazi nilipo msahili aliniambia mama kaenda Sokoni lakini hata nilipo piga simu kule Sokoni nako simu hazikuwa zikijibiwa nikawa na mashaka juu ya kazi na familia"
Mala nyingi waajiri wangu kule mkoani Mwanza wakawa wananiuliza kuhusiana na mporomoko wa ghafula ulio jitokeza kibiashara na kuhusiana na mtu nilie kuwa nimemuachia kazi,
Kiujumla sikujua ni kipi kilikuwa kimempata mke wangu ikawa sasa napeleleza kwa ndugu na jamaa walio kuwa pale mjini Nzega wakaniambia Duka lilikwisha Fungwa na mke wangu hakuwa akionekana pale mjini kule nyumbani walibaki watoto na binti wa kazi"
Kilikuwa ni kipindi ambacho baba alikuwa amefariki takribani siku mbili baada ya mazishi nikaona number ya Simu ikiita katika simu yangu hii ilikuwa ni number ya nchi jirani ya Kenya awali nilidhani ni wale mabosi wangu huenda walihitaji kujua kitu kutoka kwangu baada ya kuwa nje ya kazi kwa muda mrefu na biashara kuvurugika'
Sauti ilio sikika upande wa pili ilikuwa ni sauti ya Shinuna' ohh my dear
Shinuna aliongea kwa sauti ya upole sana huku sauti yake ikikosa mamlaka juu yangu japo nilikuwa na machungu ya kufiwa na mzazi wangu lakini hivi sauti ya mtu alie Kenya ningeweza vipo kuihukumu,
Nilimuuliza kilichomsibu mpaka kuwa Kenya pasina kunipa taarifa au kunijulisha juu ya Safari yake"
Akasema ilikuwa ni dharura kwenda kule sababu kuna mizigo ilitumwa kutokea Omani hivyo yeye na ndugu yake ikabidi wakiipokee mizigo hiyo nchini Kenya sababu ilitumwa kwa njia ya Meri"
Nikamuuliza sababu za yeye kufunga biashara nakuto kunijulisha juu ya maamuzi yake ghafula nikasikia kama sauti yake ilianza kuniamrisha na kunifokea kama mtu ambae sikustahili kuhoji lolote juu ya mustakbari wa maisha yake'
Shinuna alikuwa amebadilika japo moyo uliniuma sana lakini sikujua ni kipi kilichokuwa kimemsibu mpaka kufika kwenye hatua kama hizo, lakini ningelifanya nini mtu yupo Nairobi na mimi niko Misenyi wapi na wapi?
Nilipiga moyo konde ila fikra zangu ilikuwa ni juu ya maisha ya mwanangu kiukweli nilimpenda sana mwanangu sikutaka itokee siku moja mwanangu aishi mbali na mimi au aishi mbali na mama yake'
Kichwa kilijaa msongo mkubwa wa mawazo nilifikiria sana hatima yangu baada yakuharibu kazi ni kawa najiuliza ni kipi kilicho mbadilisha ghafula Mke wangu'
Japo ilikuwa ni ndoa ya mkeka tulio ifunga lakini siku zote mimi na mke wangu tuliishi kwa Amani sana kabla ya muarabu wa Omani kuingia kwenye maisha yetu,
Baada ya msiba kumalizika nilifunga Safari nakurejea nyumbani kwangu Nzega sikutaka kumjulisha lolote Shinuna maana tayari nilikwisha hisi jambo lisilokuwa sawa kati yetu"
Nilifika Nzega mjini midaa ya saa 12:30 za jioni nilichukua usafiri wa baiskeli kunipeleka majengo iliko kuwa familia yangu japo nilibeba zawadi baadhi ila nilijisikia furaha kumkuta bint yangu akiwa salama japo alidhoofu kiafya lakini hakuwa ameathirika katika namna yoyote kiujumla familia ilikuwa salama na yule bint wa kazi huku kijana nilie mkuta na Shinuna akiwa tayari amezoea mazingira ya shule"
Nilimuuliza yule binti wapi alikuwa mama yao binti aliniambia toka niondoke mama amekuwa hatulii nyumbani anaondoka na yule mgeni wakiondoka wanakaa kwa siku nyingi ndio wanarejea"
Nikamuuliza mke wa yule muarabu binti akaniambia kuwa baada ya muda yule mtoto aliweza kupata nafuu na wao waliondoka nakurudi kwao Omani ila ndio wakaamuacha huyu kaka yake na mama,
Sikutaka kujua mengi kwa kuwa nilikuwa nimerejea ni wazi nilitegemea Shinuna angerudi nyumbani tu na kweli hazikupita siku nyingi Shinuna aliweza kurejea
Kwa hakika hakuwa Shinuna nilie mjua shinuna nilie mkuta akiiuza vipapatio vya kuku Shinuna nilie mposa kwa glas ya maziwa nakuongia katika penzi lilonitesa baadae hakika huyu alikuwa ni Shinuna alie geuka kuwa Beyonce nywele zilizogharamika katika Salon za Nairobi viatu vyake naona viligharimu malaki sio maelefu huku mwili wake ukinukia perfume za London na UAE kwa hakika Shinuna alibadilika nakufanya nimuogope ni sauti ya mwanangu ilio kuwa ikiniuliza baba huyu mbona anafanana na Mama japo yalikuwa maneno yalio hitaji kuleta kicheko lakini moyo haukuwa na furaha na Shinuna nilimuona kama msaliti alie stahiki maumivu,
Nilisimama kwa kejeli huku nikimuuliza una mda gani haupo hapa?
Hakunijibu nikama hakutaka mjadala na mimi tayari alikwisha titia katika shimo la Huba ni wazi alimpenda muarabu na Muarabu hakujari maumivu ambayo ningeyapitia mimi mwanaume mwenzie,
Sasa Shinuna alikuwa ameingia bafuni nilikaa kitandani nikimsubiri kwa hamu pamoja na yote bado nilihitaji kuipata huduma yake sikujari kwani hainaga makombo"
Nilijiandaa nikiamini katika hilo pasingelikuwa na pingamizi kati yetu"
Shinuna aliingia chumbani baada ya kutoka bafuni nakunikuta katika hali ya mhemko aliishika taulo nakujifuta makalio yake huku akipenyeza mikono katikati ya mapaja' kisha akaondoka kuelekea kilipo kuwa chumba cha watoto,
Sikujua nini alikusudia kunitendea maana ilikuwa imepita sasa miezi minne mimi na yeye pasina kukutanisha"
Japo ghadhabu ilinikabiri lakini sikutaka kuikosa hiyo merch kwa siku hiyo nilijua wazi kama ningelikosa game basi siku ambazo zingelifatia nisingeweza kumpata tena yule kiumbe kwa maana sasa amebadilika Shinuna si wa viwango vyangu tena muarabu kampa thamani alio ikosa kwangu na sasa alikuwa ameipata hivyo nilihitaji huruma yake ili kukidhi haja zangu'
Niliingia kwa ghadhabu mle chumbani kwa watoto hakuwa mwenye kutaka kujamiiana na mimi ni wazi sura na mwili viliongea alicho kimaanisha"
Nilibadilika nakumuonesha sura ambayo hakuwahi kuijua hapo awali katika miaka mitano tulio ishi na sasa nilikuwa mwanadamu mwingine nilie kuwa nimesimama mle chumbani nilimkamata mikono yake yote miwili huku nikimuongoza kuelekea chumbani kwetu"
Nimwabaga kitandani mithiri ya gunia la korosho huku nikiyakamata kwa nguvu matiti yake sauti yake ilikuwa ikitoa yowe nilimuachia taratibu huku nikiizungusha mikono yangu juu ya kiuno chake fujo za hapa na pale hazikuwa endelevu maana Shinuna macho yake yalianza kuleta unjano furani wa bizari za kigoma hapo nikajua kuwa pamoja na usaliti wake kumbe bado alilihitaji pendo langu"
Ni kilio cha mahaba kilicho mtoka Shinuna kilinifanya niyasahau maumivu ya kifo cha baba yangu"
Nilimuangalia kwa jicho la tabasamu huku nikiulaumu moyo wangu kwanini nilikuwa nikimtihumu mke wangu"
Kweli wasemavyo waswahili mapenzi ni upofu nilikuwa sasa nimelowea katika penzi zito alilonipa Shinuna nikajikuta nayasamehe maovu yake kwa dakika chache zilizokuwa zimeyuyuka nilikuwa sasa nimefarijika moyoni sikutaka tena mgogoro na mke wangu nilihisi huenda mimi ndio nilikosea kumuacha na yule mtu nisie zijua tabia zake"
Nilikuwa nimeshika taulo kuelekea bafuni kauli ya kebehi ikawa ikinifata nyuma"
Aisee una kharufu mbaya!
Unanuka kibeberu beberu tu"
Huku akiwa amekunja ndita usoni'
Niligeuka kwa dharau nilitaka kumwambia uchi wako ndio unaotoa harufu lakini nikakumbuka huyu ni mke wangu nilie zaa nae mtoto tena first born siwezi kumdhuru kiasi hiki,
Japo hayo maneno yalinikera lakini bado niliendelea kuamini Shinuna hana hatia"
Zilipita siku mbili baada ya Shinuna kurejea nyumbani ghafula nikiwa nimerudi nyumbani sikumkuta Shinuna wala watoto milango haikuwa imefungwa ndani nguo zote zilikuwa zimeondolewa huku na baadhi ya vyombo vikiwa vimebebwa niliwauliza majirani kama waliweza kuona tukio lolote,
Walio ona waliniambia kuna gari dogo ndio ilifika pale nakuwachukua ila hawakujua ni wapi wameelekea,
Nilitoa taarifa kituo cha polisi juu ya kutokujua ni wapi familia yangu imetorokea nilieleza tukio zima nakuwa record kwenye matukio ya siku,
Zilipita siku nne ndio nikatambua wapi Shinuna alikuwa amewapeleka watoto'
Shinuna aliwapeleka watoto kule Choma cha Nkola ni kijiji katika vijiji vya wilaya ya Igunga huko ndiko aliko ishi baba yake na ndiko iliko kuwa familia ya mama yake na yule muarabu wa Omani sasa Shinuna alikuwa amedhamilia kuivunja ndoa ya mkeka kwa kuupasua kabisa"
Nilijiuliza sababu lakini sikuwa na majibu japo mwenendo wa Mke wangu nilikwisha utambua lakini swala la mimi kuachana na yeye sikuwa nikilihitaji abani,
Sikupenda mwanangu akulie kwenye Familia za ujombani hasa baada yakuona kilichokuwa kinatokea niliona taswira ya maisha ya mwanangu baada ya miaka 20 mbele hayatakuwa na future yoyote japo kizazi changu nilikipanga kabla yakuanza jukumu la kuoa nilijipangia sintozaa mtoto asieweza kufika Elimu ya juu (first degree) nilipanga sintokaa nizae watoto zaidi ya watatu ikiwa mmoja ni wa kiume'
Japo mipango yangu ingetimia hata bila Shinuna lakini swala la kuoa ili mwanamke anisaidie kulea mwanangu hilo sikuwa nikilihitaji maishani hivyo Shinuna alikuwa amenijengea ukuta ambao nisingeweza kuupenya bila maumivu'
Nilifungua kesi ya ndoa pale mahakama ya Mwanzo Nzega nakumbuka hii kesi lisikilizwa mbele ya Mheshimiwa Mrs Bidebeli, huyu alikuwa ni hakimu pale mahakama ya mwanzo,
Ushahidi wa Ugoni ulikuwa wazi kwa Muarabu kutoka Omani niliendesha hii kesi kwa vielelezo vingi na iliweza kuvutia watu wengi kipindi kile kuja mahakamani na mwisho mahakama ilimkuta na hatia yule Muarabu pamoja na Shinuna na iliwaamuru kunilipa kiasi cha shilingi milioni tano kama fidia kutokana na sheria ya Ugoni"
Baada ya kushinda ile kesi yule muarabu hakukata Rufaa mahakama ya wilaya bali alienda wilaya ya Igunga na kunifungulia kesi ya kutishia kua"
Polisi Igunga walikuja na warrant yakunikamata kutokea Igunga na polisi wa Nzega walitoa ushirikiano wakanikamata nakuwakabidhi polisi Igunga'
Hii kesi iliendeshwa kibabe sana nilisomewa Shitaka lakutishia kua kwa njia massage za Simu maneno ambayo sikuwahi kuyaona mbelea ya mahakama mashahidi walio letwa mbele ya mahakama waliiambia mahakama kuwa baada ya mimi kumtumia mlalamikaji zile Massage nae aliwaambia na wakajiridhisha kuwa hizo massage hazikuwa na shaka yoyote zilikuwa zimetumwa na mimi japo hawakuwa na uhakika wowote kuhusu number ya Simu iliotumika kutuma massage"
Hakimu alipokuja kutoa uamuzi mahakama ilinikuta na hatia nakunifunga kifungo cha miaka miwili Jela,
Nilikuwa nimechuchumaa nilimuona Shinuna kwa mbali wakati nikiisubiri gari ya magereza ili kwenda kuitumikia adhabu yangu'
Alikuwa amejifunga kitenge huku tumbo lake ni wazi lilikuwa na ujauzito alimshika mkono wa kulia binti yangu toka azaliwe sasa alikuwa ni binti wa miaka minne nywele zake zilifungwa vema kwa raba masikini alikuwa akimponyoka mama yake kuja kunilaki huku akiniita babaaa babaa babaa"
Baba baba ilikuwa ni sauti nyororo ya mwanangu nilimuinulia mkono nakumtakia buriani mwanangu Buriani ya kuonana haya maneno nilikuwa nikiyasema moyoni pingu zilikuwa zimeikaza mikono yangu sikuwa tena raia mwenye uhuru sasa nilitakiwa kuitumikia adhabu nilio pewa na mahakama isiyo huru wala Huruma'
Japo nilikuwa najiuliza ni uovu gani nilio utenda mimi mbona majanga yamekuwa sehemu ya maisha yangu?
Sauti ilio fichika ndani ya moyo wangu ilikuwa ikiniambia (Inaamaal usly yusraah) kwamba kila zito lina wepesi wake usiteteleke utayashinda,
Nilitumikia kifungo miezi minne na Rufaa yakuniondolea adhabu ilitolewa na nikawa huru akilini mwangu nilitamani sana kufanya kama Amita bhachan kwenye ile movie ya Anthr kanuni lakini nilijisemea moyoni kama ni Mungu alinipa hili basi ni Mungu atakae nipa ujasiri wakuyashinda haya nikasema kinacho takiwa kwangu nikuwa na subrah na moyo uliojaa ujasiri ili niweze kumlea mwanangu'
Miaka imepita sasa bint yangu kama nilivyo muomba Mungu hakuishi na mama yake nilimchukua akiwa na umri wa miaka mitano na sasa yupo chuo kitivo cha Sheria mwaka wa kwanza,
---------------------------
Baadae yule muarabu wa Omani alikuja kufariki na Shinuna akaolewa na mwanakijiji kule kule Choma na sasa ana watoto watatu na yule alie achwa na Muarabu wa Oman,
Asante kwa kusoma usiache kugonga kitufe cha Thanks"