Tatizo utakuta mdaiwa ana dharau na kuwazungusha wabaomdai muda mrefu
Aisee Kama unadaiwa we lipa tu huwezi jua anaekudai anapanga nn dhidi yako
Ushauri: Kama unataka kukopa nenda kwenye vikundi rasmi vinavyokopesha au kopa hata bank huko
Ushauri:Kama unataka kukopa mtu hakikisha mnaandikishiana tuu ili siku ukimtia ndani kuwe na ushahidi kua ulimkopesha