Halafu utawasikia wajinga kua watu wa kaskazini wanauana sana...shy inaongoza kwa mauaji ya wazee,waganga,uchawi,visasi
Shinyanga hapana wamezidi kwa mauaji kuliko sehemu yoyote Tanzania hata uzalilishaji pia na ubakaji ni huko shinyanga.
Nadhani sababu ni wamechelewa sana kuelimika na ni washamba bado.
Musoma Mara, Shinyanga, Kumezidi hiyo mikoa, ikifuatiwa na Arusha alafu Mbeya.
Sijasikia Lindi au Tanga wakifanya haya.
Si ndiyo hata mimi nimekomment hapa hivyo kumbe mawazo yetu yanafanana, tatizo ni dini na elimu hawana.
Mkuu nenda kahama mjini kuna vichaa wengi kuliko wakazi,nenda shytwn napo vichaa ni wengi balaaKaskazini huku kunaongoza kwa makafara ya kugeuza watu kua mandondocha ili kutoboa kibiashara,Takwimu zikionyesha vichaa wengi kuliko wote wanapatikana kilimanjaro,wilaya ya rombo kule mamsera.
Mkuu nenda kahama mjini kuna vichaa wengi kuliko wakazi,nenda shytwn napo vichaa ni wengi balaa
Wale ni mambo ya gahawa na stori tu zatiwa kijiweni, mi ukinirusha laki nikuacha uende zako mie walai mungu ataja lipia hayo ni maneno ya mswahili ,😅😅 ushoga hapo ndiyo upo lakini wizi na uuaji siyo sawa.Lindi na Tanga huko mashogah ni wengi,huo uwezo wa kushika mapanga watautoa wapi?Wao ni kucheza draft,umbea kijiweni na kashata,kahawa na kwenda kwny kigodoro jioni.
Elimu ya madrasa kaka yaani Elimu dunia Lindi wanayo.Lindi wana elimu gani kuzidi kanda ya ziwa?lindi kila mwaka si ndio wanashika mkia kwny matokeo ya mitihani ya kitaifa?Lindi ndio inaongoza wasichana kuacha shule na kwenda kuolewa wakiwa wadogo.
Huko pia kuna mambo yake ya hovyo kama vile watoto wengi wa shule kupata mimba.Kuna mikoa ni ya hovyo sana.
Matukio ya hovyo namna hii huwezi kuyasikia mkoa wa Lindi.
Matukio ya hovyo Lindi ni nadra sana
Huko pia kuna mambo yake ya hovyo kama vile watoto wengi wa shule kupata mimba.