Watu watano wamepoteza maisha
hapo hapo na wengine 36 wamejeruhiwa vibaya kwenye ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Najmunisa T 413 DAY kugongana uso kwa uso na Fuso T 123 DJH katika eneo la Ibadakuli Shinyanga.
Taarifa zaidi zitakujia baadae.
Chanzo: ITV