CCM wapuuzi sanaWakuu,
Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
View attachment 3163393
Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.
Kilingana na ripoti ni kwamba kura hizo ambazo zimepatikana katika kituo cha Shule ya Msingi ya Mwasele Matengini Shinyanga Mjini, zilikuwa zimepigwa kwa wagombea wa CCM.
Mwanzo plus
Kweli kabisaWazungu hawatuiti nyani kutokana na rangi yetu, bali kutokana na matendo yetu.
Watanyimwa misaadaShida yote ya nn?!! Kwa nn wasiweke azimio la kuwa na chama kimoja!!
Walishaona hatuna akili kabisaWazungu hawatuiti nyani kutokana na rangi yetu, bali kutokana na matendo yetu.
Ndiyo kuna uozo kupita kiasiMaombi yangu siku watokee vijana wenye akili nzuri JWTZ na TISS walikomboe hili Taifa dhidi ya udhalimu wa CCM.
Ni majangili haswaCCM ni wezi
Aibu sana kwa Dr Nchimbi na MakalaWakuu,
Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
View attachment 3163393
Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.
Kilingana na ripoti ni kwamba kura hizo ambazo zimepatikana katika kituo cha Shule ya Msingi ya Mwasele Matengini Shinyanga Mjini, zilikuwa zimepigwa kwa wagombea wa CCM.
Mwanzo plus
Hizo harakati zote za kuharibu uchaguzi zimetumia pesa nyingi sana Za Mikopo ya WahisaniShida yote ya nn?!! Kwa nn wasiweke azimio la kuwa na chama kimoja!!
Wakiendelea kuichekea ccm ipo siku itatuingiza kwenye Vita vya Civil War.Maombi yangu siku watokee vijana wenye akili nzuri JWTZ na TISS walikomboe hili Taifa dhidi ya udhalimu wa CCM.
Lucas Mwashamba leo kimyaaaCCM ni wezi
Sema nini Wazungu wanakula na CCM ndio maana huoni wakijishughulisha......baafa ya huu uchaguzi ambao nina uhakika imetumia fedha nyingi za wahisani utasikia Umoja wa EU umetoa Dola Milioni 231 wahisani.Wazungu hawatuiti nyani kutokana na rangi yetu, bali kutokana na matendo yetu.
Technology imesaidia sana kuhabarisha habari.....inaonekana wananchi wamejipanga.Wakuu,
Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
View attachment 3163393
Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.
Kilingana na ripoti ni kwamba kura hizo ambazo zimepatikana katika kituo cha Shule ya Msingi ya Mwasele Matengini Shinyanga Mjini, zilikuwa zimepigwa kwa wagombea wa CCM.
Mwanzo plus
TISS wenyewe ndo hawa wanagombania malaya na bastola kwenye viwanja vya mjini.Maombi yangu siku watokee vijana wenye akili nzuri JWTZ na TISS walikomboe hili Taifa dhidi ya udhalimu wa CCM.