LGE2024 Shinyanga: Apatikana na karatasi za kura ambazo zimepigwa kwa mgombea wa CCM zaidi ya 100

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?

Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa:
LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Kilingana na ripoti ni kwamba kura hizo ambazo zimepatikana katika kituo cha Shule ya Msingi ya Mwasele Matengini Shinyanga Mjini, zilikuwa zimepigwa kwa wagombea wa CCM.

Mwanzo plus
 
Wakuu,

Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
View attachment 3163393

Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.

Kilingana na ripoti ni kwamba kura hizo ambazo zimepatikana katika kituo cha Shule ya Msingi ya Mwasele Matengini Shinyanga Mjini, zilikuwa zimepigwa kwa wagombea wa CCM.

Mwanzo plus
CCM wapuuzi sana
 
Aibu sana kwa Dr Nchimbi na Makala

Huu uchaguzi umewatoa jasho sana
 
Wazungu hawatuiti nyani kutokana na rangi yetu, bali kutokana na matendo yetu.
Sema nini Wazungu wanakula na CCM ndio maana huoni wakijishughulisha......baafa ya huu uchaguzi ambao nina uhakika imetumia fedha nyingi za wahisani utasikia Umoja wa EU umetoa Dola Milioni 231 wahisani.

Ndip maana gesi yetu imepotea kibudu😅😅
 
Wakuu,

Kwani yale matokeo walisema saa nne yanakamilika imekuaje?
View attachment 3163393

Mwanamke mmoja amekamatwa na kura zaidi ya 100 ambazo tayari zimeshapigwa.

Kilingana na ripoti ni kwamba kura hizo ambazo zimepatikana katika kituo cha Shule ya Msingi ya Mwasele Matengini Shinyanga Mjini, zilikuwa zimepigwa kwa wagombea wa CCM.

Mwanzo plus
Technology imesaidia sana kuhabarisha habari.....inaonekana wananchi wamejipanga.

Live updates on spot
 
Back
Top Bottom