Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Kwahiyo wewe unamsikitia huyo chizi nae kuuliwa baada ya kuua? Hila sio hao Zaid ya mmoja waliouliwa?.....watu wenye hasira nao wakaamua kujichukulia sheria mkononi ni kuua huyu suspect!!!,loooooo tuendelee huko tunakokwenda hatuko mbali na nchi moja hapa SADC ambayo hata ukimkanyaga mtu kwenye ulevi kwa bahati mbaya, unakua umejihukumu kifo...,je tukio hili lingetokea pale Stockholm, je raia nao wangemshambulia huyu suspect....kweli crocodile π will never be the same na π¦
Watu wenye hasira nao wakaamua kujichukulia sheria mkononi ni kuua huyu suspect!!!,loooooo tuendelee huko tunakokwenda hatuko ...