Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule.
Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40 tulizozikamata.
Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa, leo Novemba 27, 2024