Nyendo JF-Expert Member Joined Jun 4, 2017 Posts 1,336 Reaction score 4,731 Nov 27, 2024 #1 Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule. Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40 tulizozikamata. Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa, leo Novemba 27, 2024
Nimefika Kata ya Ndembezi, Manispaa ya Shinyanga. Tumekamata kura fake 41 kutoka kwa msimamizi msaidizi wa kituo cha Ndembezi Shule. Tumewakabidhi Polisi Kura hizo fake zaidi ya 40 tulizozikamata. Pia soma:LIVE - LGE2024 - Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa, leo Novemba 27, 2024
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Nov 27, 2024 #2 Nchi ya kipumbavu sana hii.