Shinyanga Mjini ni kelele tu za bodaboda zilizotobolewa exhaust

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Yani imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu.

Ukiaa kidogo maraa paaaaaaa! Ukigeuka tu kidogo tena mara puuuu puuuuu, yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya maamuzi kushindwa kulikemea tabia hii Chafuuu ambayo sasa imekuwa ni sugu haopa Shinyanga.

Na naaamini hata uongozi wa manispaa wanasikia hizi kero za bodaboda ila ni kutokujali tu na kuliona sio jambao la umuhimu.
 
Hivi wanatoa hizo exoskeleton lengo ni ninni? Huwa nashindwa kelewa
 
Yaani hali kama hiyo niliikuta pia Bahati. Mamlaka husika epusheni wananchi na haya makelele.
 
Umewahi kufiga chuga? Pale ni kiwanda cha hinzo banga jombaa.
 
Kwa kina Ngosha hapo
 
Hili jambo limelalamikiwa sana Manyara, Morogoro na sasa Shinyanga
 
Wameanza lini hizo pigo... katika manispaa ninazozikubali kwa utulivu ni shinyanga
 
Boda boda ni vichaa waliosahaulika hapa nchini,kwanza Wana mob sykologi ya ajabu mmoja akivaa kata k basi ni wote,mwingine akivaa kishandu basi ni wote,wenye kula nchi wamelalia bomu,ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…