CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kwani rushwa inatolewa risiti?Hapo ndipo teamLISSU mnapofeli mnatoa shutuma bila ushahidi mwisho mnasema aliyewaambia ni hiyo habari ni marehemu mu. Kama Lissu na timu yake angekuwa na ushahidi wa yale anayokituhumu Chadema, wala asingetumia nguvu kubwa na kutafuta huruma ya wananchi kama ilivyo sasa. Bahati mbaya hana ushahidi na ameshindwa kujizuia kama ilivyo kwa wafuasi wake ni kuokoteza habari ambazo wala haziwezi msaidia mgombea wao.
Fitna Zimejaa Kona ZoteCHADEMA inafanyiwa mambo ya hovyo sana na ccm
Watu humu wana ID zaidi ya mbili kwa hiyo, huyo ni mkongweKwahiyi na wewe unaamini tetesi za mtoa mada , ambaye amejiunga siku ya jumatano 25/12/2024, na toka ajiunge mada zake zote ni kumpigia kampeni Lissu huku akihangaika kumponda Mbowe na timu yake?
Tuache kudanganyana.
Makosa ya Mbowe hayo kutokuunda Kamati ya maadiliChadema ingekuwa na kamati ya maadili, ingeshamuita Lissu, ikamuonya au hata kumfukuza uanachama
Mbowe hana mvuto kwa jamiiWewe huwa unamuogopa mbwa anayebweka sana?
Huwezi kuelewa weweImeanza lini kama unaweza kunikumbusha?
Ahahahahaha! Tumeingia mwaka mmoja JF. Unahisi wewe ndio mwelewa zaidi kuliko mimi? Ebu tuweke CV zetu humu kama unafikiri wewe ni mjuzi kuliko mimi! Ahahahahaha!!!?Huwezi kuelewa wewe
Mi sina CV ya aina yoyoteAhahahahaha! Tumeingia mwaka mmoja JF. Unahisi wewe ndio mwelewa zaidi kuliko mimi? Ebu tuweke CV zetu humu kama unafikiri wewe ni mjuzi kuliko mimi! Ahahahahaha!!!?
Basi tulia tubishane kwa hoja.Mi sina CV ya aina yoyote
Kula machame kulala ikungi.Anaandika kiongozi mwandamizi Mkoa wa Shinyanga.
"Habari za Usikuu wajumbe wa Mkoa wa Shinyanga na Kahama
Ugeni wetu umeingia tayari Ukiongozwa na Kaka yetu Sauti na Dada yetu Gimbi Massaba ambae ni mke wa kaka Wenje,
Tayari leo wamefika Viunga vya Kahama na wameanza Mipango ya Kukutana na wajumbe.
Makubaliano ni yale yale, SAUT na GIMBI wahakikishe wamewakatia 1M ya Kila mjumbe kama mzigo walivyopewa.
Msisahau Kazi yenu wajumbe ni Kula Machame na Kulala Ikungi.
Mungu awabariki sana Mkoa wa Shinyanga na Kahama mmejua kunifurahisha na kuwanyoosha .
Audio Clip zao tutaanza Kuzitoa baada ya Mwaka Mpya.
Good Job Watu wangu wa Nguvu.
Mkoa wa Shinyanga wajumbe wamekula yamini/Kiapo cha Utii Kukilinda chama Chao kwa gharama hata ikibidi ya Uhai wao,
Karibu sana kaka SAUTI ila kua makini sana unaweza Kupoteza ata huo Ujumbe wa kamati Kuu unaogombea ambao sisi
Mkoa wa Shy tuliokua tunakufikilia fikilia,
Dada Gimbi wamekupa kazi ngumu ya Kumuuza Mwamba hutaweza kwani hauziki tena,
Tunakuheshimu na tunajua wewe na SAUT mmeletwa Shinyanga na Kahama kwa kwa sababu wanajua tunawaamini.
Tunaomba kuwahakikishia kazi hii ngumu mmepewa pigeni hela mtembee,
Muhimu sana Fungu letu la 1M ya Kila mjumbe muliache maana ni haki yetu kutoka kwa Abdul
Asanteni sana Mkoa Shinyanga kwa kukihami chama chetu dhidi ya wasaliti hawa"
Mwisho wa kunukuu lakini labda tujikumbushe kidogo maneno ya Muasisi wa Taifa hili aliwahi kusema yafuatayo,
""Lazima tujiuluze Mtanzania wa leo hawezi kuwanunua hivi hivi watanzania wenzake kabla ya yeye kwanza kununuliwa, kama hakununuliwa amezipata wapi huyu?, kama kanunuliwa atalipa nini kwao? Kama kaomba atazirudishaje?, kama amezikopa atazlilipaje? "
Safari za Kwenda Ikulu zimemlevya mzeeIla Mbowe amebadilika sana huyu Mzee Wala hatukutegemea kabisa
Sema Kagame wa Machame au Nkurunzinza wa MachameUsiseme Mbowe, sema Ayatollah a.k.a SULTAN au ukipenda mwite MSEVEN wa MACHAME.
Huyu Gimbi ndiye tapeli wa Mbowe huku kanda ya serengeti,hata uchaguzi wa kanda wajumbe walimkimbiza kwa aibu Mbowe alimpa pesa nyingi sana za kuhonga wajumbeSafari za Kwenda Ikulu zimemlevya mzee
Tunajua kinachoendelea na walianzia bunda,tutadili nao kisawa sawa huyu chawa wa mbowe,alipewa pesa nyingi uchaguzi wa kanda tukala na kwenye boksi la kura tukampiga kipigo cha mbwa kokoHata kama ni tetesi hii yako ni takataka kabisa ..
Mimi nawashangaa hao watoa tuhuma bila ushahidi. Nadhani Tundu Lisu naye hawezi kuamini uzushi huo. La muhimu wagombea wa nafasi za uongozi Chadema ni watu wanaokielewa. Kura tu ndiyo iamue. Sekretarieti ya Chadema muwe macho, hakikisheni UCHAGUZI huu ni wa mfano ili huko mbeleni kusiwe na manun'guniko. Tupa mfano wa kuuiga kutoka Chadema.Hapo ndipo teamLISSU mnapofeli mnatoa shutuma bila ushahidi mwisho mnasema aliyewaambia ni hiyo habari ni marehemu mu. Kama Lissu na timu yake angekuwa na ushahidi wa yale anayokituhumu Chadema, wala asingetumia nguvu kubwa na kutafuta huruma ya wananchi kama ilivyo sasa. Bahati mbaya hana ushahidi na ameshindwa kujizuia kama ilivyo kwa wafuasi wake ni kuokoteza habari ambazo wala haziwezi msaidia mgombea wao.