ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakusubiri mlangoni na lesoni yangu hapa!Mods kuna watu yanakashfu kabila la wasukuma tuna zaidi ya mwezi tunakashifiwa tu bila hata sababu za msingi! Tunaomba mliangalie hili kwa umakini ikiwezekana wapewe ban ya maisha!
Ukabila ni sumu!