[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakusubiri mlangoni na lesoni yangu hapa!Mods kuna watu yanakashfu kabila la wasukuma tuna zaidi ya mwezi tunakashifiwa tu bila hata sababu za msingi! Tunaomba mliangalie hili kwa umakini ikiwezekana wapewe ban ya maisha!
Ukabila ni sumu!
Mti wenye matunda ndio hupigwa mawe mkuu.Mods kuna watu yanakashfu kabila la wasukuma tuna zaidi ya mwezi tunakashifiwa tu bila hata sababu za msingi! Tunaomba mliangalie hili kwa umakini ikiwezekana wapewe ban ya maisha!
Ukabila ni sumu!
Kitu cha shemasi sio?!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakusubiri mlangoni na lesoni yangu hapa!
Hahahaa umekua wa mataifa nakuogopa utaniingiza motoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakusubiri mlangoni na lesoni yangu hapa!
Mkuu siku hizi Ibinza mata kumeendelea? Kulikuwa slum za hatari 90'sIbinzamata Shinyanga! Ulidhani mie mpare? 😑😑😶😐😐!
Unajitoa ufahamu ehSijawahi kujua hili, umejuaje?
Hakuna lolote mkuu....kwa kawaida sana sana!Mkuu siku hizi Ibinza mata kumeendelea? Kulikuwa slum za hatari 90's
Bado kuna matembe ya kuezeka na katani?Hakuna lolote mkuu....kwa kawaida sana sana!
Hata ndembezi imewazidi?Hakuna lolote mkuu....kwa kawaida sana sana!
Mkuu mimi ni bawaba tu, ndio maana nipo mlangoni na lesoni kuwakaribisha akina Wangari.Kitu cha shemasi sio?!!!
Tuache kabisa! Mtu anameza ARV kwa siri unadhani ni rahisi kumeza hasa ukijua amekuwa akifanya hivyo kwa siri!Hivi kwanini wanaume wanakimbiliaga kuua na kujiua, hivo vifua sijui koromeo haviwezi kusitiri majanga?[emoji848][emoji848]
Nimeanza kuhisi mwanaume ni kiumbe dhaifu kabisa
Mbona si tukigundua hatuwaui?Tuache kabisa! Mtu anameza ARV kwa siri unadhani ni rahisi kumeza hasa ukijua amekuwa akifanya hivyo kwa siri!
Nyie hamuui kwa visu na mangumi, mnaua kwa sumu au vinginevyo, sio rahisi kujulikana. Ila sio poa mtu anameza ARV for long, mume/mke hajui kuwa jamaa kaathirika. Sio poa bwana!Mbona si tukigundua hatuwaui?
Wasukuma again,sukuma gangMods kuna watu yanakashfu kabila la wasukuma tuna zaidi ya mwezi tunakashifiwa tu bila hata sababu za msingi! Tunaomba mliangalie hili kwa umakini ikiwezekana wapewe ban ya maisha!
Ukabila ni sumu!
Mods kuna watu yanakashfu kabila la wasukuma tuna zaidi ya mwezi tunakashifiwa tu bila hata sababu za msingi! Tunaomba mliangalie hili kwa umakini ikiwezekana wapewe ban ya maisha!
Ukabila ni sumu!
Wanafanana tu...hawana la ajabuHata ndembezi imewazidi?