DOKEZO Shinyanga: Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi Kituli alibakwa na tukio kufichwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Katika Shule ya Msingi Kituli, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza (KE) alifanyiwa ukatili wa kubakwa, lakini Mwalimu Mkuu alificha suala hilo kwa kuhofia kupoteza nafasi yake ya ukuu wa shule, kwa kuwa matukio kama haya ya ulawiti yamekuwa yakitokea miongoni mwa wanafunzi.

Tunaomba mamlaka husika zichukue hatua haraka ili kusaidia na kulinda watoto wetu. Ushahidi wa tukio hilo upo kwenye daftari la zamu.

cod.jpg
 
Attachments

  • VID-20260926-WA0031.mp4
    6 MB
Back
Top Bottom