Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni fisi watu, ushirikina umezidi, npo meatu najioneaMatukio ya fisi kuua watu mara zote yanatokea kwa wingi Kanda ya Ziwa! Hivi hao fisi huwa wanafugwa huko, au wanatokea hifadhini.
Watu wa Kanda ya Ziwa tafadhali, naombeni mnisaidie kwenye ufafanuzi.
Nyumba zenyewe ni tembe, milango ni vibati vimeunganishwa na vimbao..lakini mkuu hizo nyumba za wenzetu zikoje yani fisi anakuja usiku anavunja mlango anaingia ndani na kuvunja mwingine wa kuingia chumbani na kuanza kushambulia watu!!
Nilikuwa namsoma tu huyu jamaa hapo juu nkajisemea huyu bwana hamjui fisi.Fisi huwajui vizuri mzee. Hiki ulicho andika ni story tu.
Fisi anapola nyama chui, Duma etc.
Fisi ingawa n mdogo kwa Simba bt huwa Simba akiingia vibaya fisi wanna mtiririsha.
Fisi akiwa na njaa, hashindwi kuingia ktk kundi la Simba angalau apate nyama wanayo Kula. Fisi kichaa mno, yeye akikuta mnyam huwa hauui, ana mla hivyo hivyo akiwa mzima.
Chukua elimu mpya hii
Tena ukutane na fisi madoa, vichaa waleeNilikuwa namsoma tu huyu jamaa hapo juu nkajisemea huyu bwana hamjui fisi.
Fisi ni habari nyingine, fisi ni muoga akiwa kashiba ila akiwa na njaa hata simba anasanda.
Fisi wakiwa kikundi hata simba wanakimbia na kuwaachia mzoga licha ya wao kuwa ndio waliowinda.
Narudia kusema "Fisi muoga ni yule aliyeshiba tu mwenye njaa ni jasiri mithili ya Simba"