Uchaguzi 2020 Shinyanga, Umakini unahitajika

Wasukuma mlikuwa mnakwenda vizuri sana kabla mlipoamua kuikacha ccm na kuwa ngome ya CHADEMA. Lakini naona mmerudi nyuma tena. Tunapaswa kuiondoa ccm imeshindwa kuwasaidia wananchi kuondokana na umaskini. Shinyanga umaskini umekuwa mkubwa sana. Tuiadhibu ccm sasa.
Hii kasumba ni mbaya sana. Pia nadhani ni wakati nyie wenye asili ya "kitanganyika" kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi pia tafuteni hela kwanza ili msije kulalamika mnaonewa.

Lala chief mda umekwenda kweli kweli
Hoja ni nzito lakini ina chembe za ukabila inafanya ipoteze maana
Ali kessy ni mwarabu mbona anakiwasha sana bungeni
Chagueni mtu makini tu
Mnabuduhe,
Mkuu umeongea point tupu, mimi pia ni mzaliwa wa wilaya hiyo, vipi akina nani wamechukua form jimbo la kishapu tuwafanyie vetting
Gombea kupitia chadema mkuu...tatizo lenu watu wa huko mnakuwa waoga hadi kwenye Mambo ya msingi
Umeona mkuu? Yaani tumekuwa makondoo sana. Tumebaki kusifia vya wenzetu tu! Utasikia li Mh. Nchambi limenunua Hammer ya hatari baghosha!! Ujinga mtupu!!
 
Mbona wakurya hakuna maedeleo yoyote wanayopata licha ya kuchagua wakurya wenzao tena wa upinzani, miaka nenda rudi?

Wakati Namanyere kwa mzee Kessy, kila kijiji kina umeme, barabara za lami zinajengwa Hospitali ya wilaya na vituo vya afya kapelekewa, raisi alimpa mzee Kessy ambulance za kupeleka huko, etc.

Hata Bashe aliyeko jirani yenu, nendeni mkaone aliyofanya jimboni kwake.

Inategemea na watu binafsi mnowachagua na sio asili yao
 
Wewe mkuu una ushahidi wa haya unayosema? Unaijua Tarime vizuri? Wacha hizo bwana. Kwenye umaskini ni Musoma kwa akina Mathayo na Muhongo. Lakini kwa Wakurya wa CHADEMA wamepiga hatua huwezi kulinganisha na kwetu huku tulikowaamini Waarabu koko!
 
Mada ulikuwa umetaka kuijenga vema ila umeruka tatizo halisi "CCM" na kuangukia kwenye UKABILA NA UDINI ili ionekane hatia kubwa ya kukosa maendeleo iko kwa WABUNGE!!
JE WAHESHIMIWA SANA "NDUGWAI NA KIBAJAJI" NI WA KUTOKEA MASHARIKI YA MBALI?
 
Mosi,Watu wa Shinyanga wamekuwa wakichagua Raia wenzao wenye asili ya Mashariki ya Kati wakidhani wanachagua WAZUNGU!
Ila hapo nmecheka sanaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 

Nchambi aliongea sikumoja tu kumtusi Dada wa watu yule sijui Salome Makamba

Kwamba madini ya shinyanga yanatosha kumtengenezea shanga zikakaa kiunoni amfurahishe mume wakeπŸ˜„πŸ˜„

Ila hawa WaAsia na waAjemi mi huwa siwaamini hata kidogo

Toka enzi za Sagaf kwenye jimbo langu
Akaja Morama nae analitaka bora aisee tufwate sera ya Marehem Mengi tu ya "uzawa"
 
Kazi ipo tena nzito
Waarabu koko wameungana.

Naskia kuna demu alikuwa Viti Maalum Koko kutokea Tinde vijijini huko anatoa kilo kila mjumbe[emoji848]

Ningekuwa mimi ningeyapiga panga yote tu Kishapu Mpaka Igunga
 
Kahama tulishakoma ujinga huo wa kuchagua waarabu na wahindi nasikia aliwahi kuwepo mbunge mhindi miaka kama 30 iliyopita, tangu hapo tulishawakataa. hawana lolote, si watetezi wa maslahi ya watu, wako kulinda biashara zao za kitapeli na ujangili na hivi wakijiunga na hicho chama chao cha walanguzi cha kijani, unakuwa utapeli juu ya utapeli. Nakumbuka hadi mchina (mwenye hadhi kubwa ya kidiplomasia) alivalishwa uniform za kijani huko huko Kishapu. Kwa kweli majimbo ya Shinyanga na Kishapu wanatuangusha sana.
 
Halafu mamamake supika eti naye anashangilia ujinga kama huo? Yaani siku hiyo mimi ningekuwa mchawi ningemloga Ndugayi asikojoe mwezi mzima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…