Wasukuma mlikuwa mnakwenda vizuri sana kabla mlipoamua kuikacha ccm na kuwa ngome ya CHADEMA. Lakini naona mmerudi nyuma tena. Tunapaswa kuiondoa ccm imeshindwa kuwasaidia wananchi kuondokana na umaskini. Shinyanga umaskini umekuwa mkubwa sana. Tuiadhibu ccm sasa.
View attachment 1509884
Naomba nitangaze maslahi binafsi kwanza! Mimi ni Mzaliwa wa Shinyanga,Wilaya ya Kishapu.
Hivyo ninaumizwa sana na uwakilishi hafifu toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hapa Tanzania mwaka 1992.
Mkoa wangu huu pendwa wa WASUKUMA wazee wa Nduhu Tabu hata kama anapingu mkononi!!!!! Tubadilike aisee.
Tumekuwa na tabia ya kupeleka Uwakilishi hafifu sana Bungeni,Tunapeleka watu ambao hawawezi kutetea rasilimali zetu na haki za watu wa Shinyanga hasa juu ya Ardhi,Madini,Pamba na Elimu duni.
Hii nadhani inachochewa kwa kuchagua watu wasio na uchungu na Ustawi wa Watu wa Mkoa wa Shinyanga.
Mosi,Watu wa Shinyanga wamekuwa wakichagua Raia wenzao wenye asili ya Mashariki ya Kati wakidhani wanachagua WAZUNGU!
Kumbe Jamaa ni Watu wanao tafuta kukuza Mitaji yao na kufanya mazingira ya Biashara zao kuwa Rafiki.
Hili la kuchagua watu wenye asili ya Mtume wa Mwenyezi Mungu ni tatizo la Tanzania nzima kwa kweli! na unapotaka Kulizungumza unaitwa Mkabila na Mbaguzi mkubwa! lakini Ukweli unabaki kuwa Ukweli tu! Hao Jamaa hawanaga shobo na matatizo ya watu wenye Asili ya Tanganyika Halisi.
Pili,Nenda Kilimanjaro nenda Manyara Nenda Ruvuma nenda Mwakaleli nenda Tanga hata kama Ulizaliwa huko na Maisha yote Umeishi nao ila tu Wakishajua we ni Mtafutaji mpiganaji Muongoza njia hawawezi kukuamini Uwawikilishe asilani.
Mwenye Ushahidi toka mfumo wa Vyama Vingi Uanze anitajie yeyote aliyewahi kuwa Mbunge toka Mkoa wa Kilimanjaro mwenye Asili ya Shinyanga.
Anitajie yeyote mwenye asili ya Kagera aliyewahi kuwa Mbunge kutokea Mkoa wa Mara.Nitafuta mara moja Uzushi huu.
Tuchague watu watakao kuwa radhi kuwapatia Watu wa Kwao Uwakilishi wa Kweli bila Mashaka! tukiendekeza makapile na madoti na masoda tutaendelea kuwa Kichwa cha Mwenda Wazimu.
Sijataja jila la mtu anayegombea,sijaweka picha ya mtu anayewania! nimeheshimu Demokrasia.
Salamu hizi pia ziwafikie Wanyamwezi - Tabora, Wasingida,Katavi na jirani yake,Walugulu watani zangu,na Kamwene.
Tubadilike Wasukuma wenzangu!
Asalam Aleikum.
Hii kasumba ni mbaya sana. Pia nadhani ni wakati nyie wenye asili ya "kitanganyika" kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi pia tafuteni hela kwanza ili msije kulalamika mnaonewa.
Lala chief mda umekwenda kweli kweli
Hoja ni nzito lakini ina chembe za ukabila inafanya ipoteze maana
Ali kessy ni mwarabu mbona anakiwasha sana bungeni
Chagueni mtu makini tu
Mnabuduhe,
Mkuu umeongea point tupu, mimi pia ni mzaliwa wa wilaya hiyo, vipi akina nani wamechukua form jimbo la kishapu tuwafanyie vetting
Mwanangu wewe acha tu, Wasukuma tumezudi undezi. Kishapu amechukua tena yule jangili mbobezi anautaka tena ili afikishe 15 years bila maendeleyo!! Yupo pia mwenyekiti wa council mh. Butondo. CHADEMA sijajua watamweka nani! Ujinga wetu Wasukuma wa Shinyanga Mwarabu akishaongea maneno mawili tu ya Kisukuma utasikia "Yeee baghosha Lyarabu liguyombagha Gisukuma ghete nkoyi". Babehi, dumishagi dugusabhilwa nu dubehi! Tuamke jamani hawa jamaa hawapo kwa ajili ya shida zetu. Hali ya Kishapu, Solwa na Meatu ni mbayaaaaaaa!! Wacha watuite wakabila hatujali sasa hivi!
Gombea kupitia chadema mkuu...tatizo lenu watu wa huko mnakuwa waoga hadi kwenye Mambo ya msingi
Wewe ndiye kaka yake mpenzi wangu Matrida Makwaiya wa pale Buduhe? Msalimie sana. Ila jamaa yangu umepiga mulemule! Wasukuma wa Shinyanga tumekuwa mazombie sana! Tunapeleka "Basuluja" bungeni badala ya wawakilishi! Natamani mwaka huu mkoloni mweusi tumpige chini mkoa mzima tupeleke upinzani. Hawa Waarabu wapo pale kulinda ujangili wao na wizi wa madini tu hakuna kingine. Nani amewahi kumsikia Mh. Salum Mbuzi au Mh. Nchambi akiongea bungeni kumtetea mwananchi wa Usukumani? Awamu hii tupige kura za hasira! CHADEMA watuwekee watu wanaoeleweka tu tufanye yetu, kwa Shinyanga mjini wameleta jembe litawatesa sana hawa Waarabu!
Umeona mkuu? Yaani tumekuwa makondoo sana. Tumebaki kusifia vya wenzetu tu! Utasikia li Mh. Nchambi limenunua Hammer ya hatari baghosha!! Ujinga mtupu!!