Shinyanga: Watumishi sita wafukuzwa kazi kwa utoro, kughushi

Kwa hiyo ukisoma una ruhusa ya kutofika kazini kwako na kughushi nyaraka?

Tumia akili mkuu!
Uhuru wa mawazo ukiniambia nitumie akili hizi barabara ninazovuka zoote unanisaidia wewe siyo.
 
Leo ndiyo nimesikia kuwa Bukene ipo chini ya Mamlaka ya Shinyanga!

Kabla yake nilielewa kuwa Bukene ipo chini ya mamlaka ya Mkoa wa Tabora wilaya ya Nzega.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…