Mzazi unatakiwa utafute pesa nyingi uachie wajukuuInasikitisha, halafu wazee nchi hii ni wachache sana,tatizo kuzaa watoto 20 halafu hauwawekei msingi wa kujitegemea.Halafu ni ngumu kulea watoto 20 ,matokeo yake ndo haya.
Inabid uwe mjinga wa kiwango cha juu sana kupangiwa watoto na serikaliWaliambiwa wazae tu, serikali will take care of the rest
Billgate mwenyewe ana watoto 3 tu.Kwa utajiri gani uachie watoto 15?Mzazi unatakiwa utafute pesa nyingi uachie wajukuu
Yule ana amini katika depopulationBillgate mwenyewe ana watoto 3 tu.Kwa utajiri gani uachie watoto 15?
Kwa nini mteseke wakati mashamba yapo? Kwani nini msilime kujipatia chakula na kipato?Unavumilia vipi kuwa na hela ilihali manii zako ulizozikojoa zinateseka mtaani kwa umasikini uliotukuka?
Watoto 20 wasiolelewa vizuri hugeuka kuwa aduiInasikitisha, halafu wazee nchi hii ni wachache sana,tatizo kuzaa watoto 20 halafu hauwawekei msingi wa kujitegemea.Halafu ni ngumu kulea watoto 20 ,matokeo yake ndo haya.
Maisha ya zamani na Sasa ni tofauti sana. Siku hizi kila mifugo na mimea vyote vinaugua, hivyo vinahitaji matunzo na matunzo maana yake maarifa na fedha. Kuzaliana kama mchwa zama hizi ni upumbafuuuuu!Tokea hata Magufuli hajazaliwa,watu hawa huzaa watoto wengi.Bibi zangu tu mmoja ana watoto 16,mwingine 10.