Shinyanga: Wazee walalamika kuuawa kwa njama wasipogawa urithi

Shinyanga: Wazee walalamika kuuawa kwa njama wasipogawa urithi

Inasikitisha, halafu wazee nchi hii ni wachache sana,tatizo kuzaa watoto 20 halafu hauwawekei msingi wa kujitegemea.Halafu ni ngumu kulea watoto 20 ,matokeo yake ndo haya.
Mzazi unatakiwa utafute pesa nyingi uachie wajukuu
 
Inasikitisha, halafu wazee nchi hii ni wachache sana,tatizo kuzaa watoto 20 halafu hauwawekei msingi wa kujitegemea.Halafu ni ngumu kulea watoto 20 ,matokeo yake ndo haya.
Watoto 20 wasiolelewa vizuri hugeuka kuwa adui
 
Tokea hata Magufuli hajazaliwa,watu hawa huzaa watoto wengi.Bibi zangu tu mmoja ana watoto 16,mwingine 10.
Maisha ya zamani na Sasa ni tofauti sana. Siku hizi kila mifugo na mimea vyote vinaugua, hivyo vinahitaji matunzo na matunzo maana yake maarifa na fedha. Kuzaliana kama mchwa zama hizi ni upumbafuuuuu!
 
Mabilionea wengi duniani wamejiunga na "The giving pledge ". Kwenye mpango huu wanatoa sehemu kubwa ya fedha zao kusaidia jamii. Utaratibu huu ungetumika na matajiri wa Tanzania sidhani kama wangebaki salama.
 
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa wachangiaji wa hii mada wengi wao wanahisi ni sawa hayo yanayotendeka, Wanasukuma shutuma kwa mzee kisa tu eti amezaa watoto wengi.
 
Back
Top Bottom