Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Niache Nteseke kuna watengenezaji wa boti wapo Kenya nimewasiliana nao wana fiber boti ya mita 7. Wanaiuza dollar 3500 bila injini.Hii inabidi ichongwe au inakuwa tayari imeshachongwa unachofanya ni kununua tu...?
Mkuu Niache Nteseke kuna watengenezaji wa boti wapo Kenya nimewasiliana nao wana fiber boti ya mita 7. Wanaiuza dollar 3500 bila injini.
Mkuu nimefanikiwa kukutana na mtengenezaji boti za kisass ambaye yupo hapa hapa Tanzania.Hapo ukijumlisha na engine ni kama 12mil mpaka kuileta huku na ushuru au kuisajili itakuwa kama 15m au zaidi kiongozi...?
Return yake inakuaje kiongozi. Thanks.
Mkuu nimefanikiwa kukutana na mtengenezaji boti za kisass ambaye yupo hapa hapa Tanzania.
Ukitoa oda ndani ya wiki 2 itakuwa imekamilika.Upande wa injini anaagiza kutoka Japan na Ujerumani. Pia kama una injini ya gari I we diesel au petrol yeye atafanya modifications kwa kuiwekea marine gearbox (ZF gearbox) na mfumo wa jet engine.
Ujenzi wa boti utafanyika Dar,Zanzibar au Tanga pia anaweza akaja kufanya ulipo kulingana na makubaliano.Material ya boti utachagua wewe kama ni mbao,fiber glass,aluminium au chuma.
Muundo wa boti utachagua wewe na vitu gani uwekewe kadri ya uhitaji wako,pia utapata ushauri wa kitaalamu kulingana na boti unayohitaji.
Karibu uhudumiwe na ufurahie kutumia boti ya kisasa.
Ziwa victoria wanazingua wanadai et samaki wataisha wakitumia meli. Kuna kijana kama cjakosea anaitwa OCHIENG kama nimekosea nrekebishwe jna labda nmechanganya. ... alilrtaga meli mwanza wakamfanyia ftna mpka ikapgwa moto. so meli labda baharn tu.Ziwa Victoria inawezekana kama kuna watu wana hizo meli. Kwa baharini ni rahisi maana vyombo ni vingi na unaweza ukakodi hata nje ya nchi.
Nikitaka kukodi toka Dar to Comoro kupeleka huko mzigo ni Kama Bei gani?Bei Inategemea unakodi kwa muda,safari au kutoka wapi kwenda wapi.
Mzigo gani unataka upeleke?Nikitaka kukodi toka Dar to Comoro kupeleka huko mzigo ni Kama Bei gani?
BeiMkuu nimefanikiwa kukutana na mtengenezaji boti za kisass ambaye yupo hapa hapa Tanzania.