Mkuu nimefanikiwa kukutana na mtengenezaji boti za kisass ambaye yupo hapa hapa Tanzania.
Ukitoa oda ndani ya wiki 2 itakuwa imekamilika.Upande wa injini anaagiza kutoka Japan na Ujerumani. Pia kama una injini ya gari I we diesel au petrol yeye atafanya modifications kwa kuiwekea marine gearbox (ZF gearbox) na mfumo wa jet engine.
Ujenzi wa boti utafanyika Dar,Zanzibar au Tanga pia anaweza akaja kufanya ulipo kulingana na makubaliano.Material ya boti utachagua wewe kama ni mbao,fiber glass,aluminium au chuma.
Muundo wa boti utachagua wewe na vitu gani uwekewe kadri ya uhitaji wako,pia utapata ushauri wa kitaalamu kulingana na boti unayohitaji.
Karibu uhudumiwe na ufurahie kutumia boti ya kisasa.