Shipping Agent gani yuko vizuri kutoa mzigo China - Tanzania kati ya Shamwaa na Silent Ocean?

Shipping Agent gani yuko vizuri kutoa mzigo China - Tanzania kati ya Shamwaa na Silent Ocean?

kwondeboy

Member
Joined
Dec 28, 2018
Posts
12
Reaction score
11
Nawasalimu wana jf popote mlipo na heshima kwenu, Naombeni msaada katika kutafta giant shipping company nimepata hao wawili lengo langu kuna mzigo.

Nataka ufike ndani ya siku 40 Je ni yupi kati ya hao uhakika zaid au kama kuna shipiping agent mwingine mnipe ramani jamani mjini hapa lazma niwaulize maexpert nijuzwe vizuri
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
 
Silent ocean wapo vizuri.
Hizi kampuni zengine kuna siku kitu cha robo cmb nililipishwa laki 4.5 .na kimekuja kwa maji.
Naliweka jina kapuni
Pole sana chief karibu FAGO EXPRESS KWA HUDUMA KAKA NAFUU NA ZA HARAKA KWA SIKU 35TU TEXT OR CALL WHATSAPP (+255765018950)
 
Nawasalimu wana jf popote mlipo na heshima kwenu, Naombeni msaada katika kutafta giant shipping company nimepata hao wawili lengo langu kuna mzigo.

Nataka ufike ndani ya siku 40 Je ni yupi kati ya hao uhakika zaid au kama kuna shipiping agent mwingine mnipe ramani jamani mjini hapa lazma niwaulize maexpert nijuzwe vizuri
[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona uhitaji wakutoa mizigo China kuja Tanzania

Ningependa kukupa fursa yakuagiza nakukuletea bidhaa zako Kwa gharama nafuu kutoka china, uturuki kuja Tz dar pia na usafirishaji

Unaeza agiza/kusafirisha nasi hatakama huna pesa kamili sisi tukanunua/kusafirisha Kwa niaba yako nakufikisha mzigo hapa nakuja kuufata kwako ndo ukamilishe malipo..

Tunapatikana mkunguni street kariakoo karibu na kituo cha polisi msimbazi B, mm ni Mr Nelson head of operations FAGO EXPRESS. Karibu sana chief WhatsApp+255765018958
 
Mapembelo kago
Nilivyoona mapembelo nikakumbuka kuna wakati hapa hapa jamii forums nilisoma uzi mmoja kuhusu kabila la wakinga, ndipo nilijifunza mambo mengi kuhusu jina la mapembelo/kwa nini ipo vizuri kuagiza mzigo kutoka china/ Na namna wakinga wanavyoinuana kwa upande wa kabila kupitia kampuni ya mapembelo kutoa mzigo china kuja tz..
 
Mimi nimetozwa 94,600 Kwa 0.08 CBM nahisi km nimepigwa
Hua inategemea na rates boss, dollar inaregulate kila kitu at least ungeongea nao vizuri wangepata angle yakukusaidia.

Ila karibu Fago Express+255765018958 WhatsApp call/text
 
Nilivyoona mapembelo nikakumbuka kuna wakati hapa hapa jamii forums nilisoma uzi mmoja kuhusu kabila la wakinga, ndipo nilijifunza mambo mengi kuhusu jina la mapembelo/kwa nini ipo vizuri kuagiza mzigo kutoka china/ Na namna wakinga wanavyoinuana kwa upande wa kabila kupitia kampuni ya mapembelo kutoa mzigo china kuja tz..
Wako vizuri
 
Back
Top Bottom