Pole sana chief karibu FAGO EXPRESS KWA HUDUMA KAKA NAFUU NA ZA HARAKA KWA SIKU 35TU TEXT OR CALL WHATSAPP (+255765018950)Silent ocean wapo vizuri.
Hizi kampuni zengine kuna siku kitu cha robo cmb nililipishwa laki 4.5 .na kimekuja kwa maji.
Naliweka jina kapuni
Habari Boss, pole na majukumu napenda kukupa nafasi ya upendeleo kwako, baada yakuona uhitaji wakutoa mizigo China kuja TanzaniaNawasalimu wana jf popote mlipo na heshima kwenu, Naombeni msaada katika kutafta giant shipping company nimepata hao wawili lengo langu kuna mzigo.
Nataka ufike ndani ya siku 40 Je ni yupi kati ya hao uhakika zaid au kama kuna shipiping agent mwingine mnipe ramani jamani mjini hapa lazma niwaulize maexpert nijuzwe vizuri
[emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
Nilivyoona mapembelo nikakumbuka kuna wakati hapa hapa jamii forums nilisoma uzi mmoja kuhusu kabila la wakinga, ndipo nilijifunza mambo mengi kuhusu jina la mapembelo/kwa nini ipo vizuri kuagiza mzigo kutoka china/ Na namna wakinga wanavyoinuana kwa upande wa kabila kupitia kampuni ya mapembelo kutoa mzigo china kuja tz..Mapembelo kago
Kwa ajili ya wakingaMapembelo kago
Wataje tuwaepukeSilent ocean wapo vizuri.
Hizi kampuni zengine kuna siku kitu cha robo cmb nililipishwa laki 4.5 .na kimekuja kwa maji.
Naliweka jina kapuni
Mimi nimetozwa 94,600 Kwa 0.08 CBM nahisi km nimepigwaSilent ocean wapo vizuri.
Hizi kampuni zengine kuna siku kitu cha robo cmb nililipishwa laki 4.5 .na kimekuja kwa maji.
Naliweka jina kapuni
Karibu Fago Express Kwa kuagiza mizogo yote mikubwa na midogo reach out Whatsapp+255765018958 call/textSilent
Hua inategemea na rates boss, dollar inaregulate kila kitu at least ungeongea nao vizuri wangepata angle yakukusaidia.Mimi nimetozwa 94,600 Kwa 0.08 CBM nahisi km nimepigwa
Aina GANI ya mzigo hilo ulitizame pia dollar ipo juuMimi nimetozwa 94,600 Kwa 0.08 CBM nahisi km nimepigwa
Hawa jamaa hawana customer serviceShamwaa
Wako vizuriNilivyoona mapembelo nikakumbuka kuna wakati hapa hapa jamii forums nilisoma uzi mmoja kuhusu kabila la wakinga, ndipo nilijifunza mambo mengi kuhusu jina la mapembelo/kwa nini ipo vizuri kuagiza mzigo kutoka china/ Na namna wakinga wanavyoinuana kwa upande wa kabila kupitia kampuni ya mapembelo kutoa mzigo china kuja tz..
Ni jina tu hilo lakini hata mchaga unaagiza tuKwa ajili ya wakinga