Shirika au site inayotoa training ya mambo ya Kilimo.

Shirika au site inayotoa training ya mambo ya Kilimo.

Zekoddo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
1,859
Reaction score
4,539
Wakuu,,
Hivi ni Mashirika gani au site gani zinazotoa ofa za training za Kilimo bure kwa muda mfupi, Iwe hapa Tanzania au nje ya nchi..
Nitashukuru sana nikijulishwa ili nijaribu kuomba kulingana na wakati uliopangwa kufanyika kwa mafunzo husika kulingana na Kila training/course.
 
Back
Top Bottom